Ushahidi: Sunzu na Boban wa Simba SC. "wanatumia madawa ya kulevya" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi: Sunzu na Boban wa Simba SC. "wanatumia madawa ya kulevya"

Discussion in 'Sports' started by Mkeshaji, Sep 22, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbwa wa Polisi kitengo maalum cha kupambana na madawa ya kulevya jana "aliwatia aibu" wachezaji wa Simba huko Mwanza.
  Mbwa huyo ambaye amefunzwa kubainisha watu waliotumia/waliobeba madawa ya kulevya walitoa kali hiyo jana wakati wa mchezo kati ya Simba na Toto African, mchezo ambao ulifanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini humo.

  Mbwa huyo ambaye alikuwa ameshikwa na master wake alianza kukukuruka kana kwamba amehisi kitu, ana alipofanikiwa kumtoroka master wake moja kwa moja alianza kumfukuza mshambuliaji wa timu hiyo Felix Sunzu.

  Baada ya Sunzu kufanikiwa kumzidi mbio mbwa huyo ndipo mbwa akamgeuzia kibao kiungo wa timu hiyo Haruna Moshi "Boban". Mbwa huyo aliendelea kumtia msukosuko Boban hadi alipokamatwa na kutulizwa na master wake.
  Watu wengi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na sakata hilo.
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni kwenye MMU
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mods hamisha hii kitu kwenye sports au kwenye habari mchanganyiko.....hapa ni malavidavi tu na siyo mambo ya kubwia unga.....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,287
  Likes Received: 22,047
  Trophy Points: 280
  mtoa mada nae kabwia mi vumbi hauni tofauti ya MMU na spoti
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Unganisha dots....na uzembe na uzubafu uliowakuta wachezaji wetu wa stars kule ivory coast....utajua kuwa uwezo wao unaongezwa na ndumu ......
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  chit chat au jokes
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kina ka ukweli ndani yake.
   
 8. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha haaa
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah Boban anavuta sana Bange yule mbwa alinusa harufu ya bange ndo maana akamtoa nduki Boban
   
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwenye gemu yao ya jana na Mtibwa wakati tupo kwenye jukwaa letu la Yanga tukamtishia Boban: "Mbwa wa Polisi huyooo". Huwezi amini jamaa akataka kufyatua mbio...
   
 11. M

  Masuke JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi nakumbuka mbwa wangu enzi za miaka ya themanini mwishoni na tisini mwanzoni alikuwa na mbio za kukamata hadi swala sasa huyu mbwa wa polisi anayezidiwa mbio na kina Sunzu na Haruna ambao wewe unadai wanabwia unga inawezekana mbwa naye anabwiwishwa unga pengine kuliko hata hao wachezaji ndo walimzidi mbio.
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa na wala si uongo wala si utani.
  Mbwa wale huwa wanawapa madawa ya kulevya, kwa hiyo wanapohisi harufu ya madawa hayo huwa wanamkimbiza yule waliyemhisi si kwa minajili ya kumkamata bali ni kwa minajili ya wao kupata huo unga ili wabwie. Huo ndo ukweli mkuu.
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Inawezekana , lakini inawezekana pia ilikuwa hujuma ya Toto, nakumbuka Jamal Rwambo alipokuwa RPC Mwanza alikuwa m/kiti wa kamati ya kuwezesha toto ishinde. Huenda hata huyu wa sasa naye ni m/kiti wa kamati hiyo na aliwapa vijana wake maelekezo nao wakampa yule mbwa maelekezo kwamba Haruna na Sunzu ndo balaa kwa Toto hivyo inabidi mbwa awakimbize ili kuwajengea hofu wasicheze vizuri.
   
 14. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  jamani hv hamtaki kuamini kuwa boban ni mvuta bangi leo mbwa next yatakuwa mengine na tusubili.
   
 15. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kaka acha kuongea kitu usicho kijua.hao mmbwa wanatambua ni harufu co kuwa wanapewa hzo bangi au unga unafikili akileweshwa huyo kuna mtu atasalimika hapo kumbuka kuwa huyo ni mnyama vp ukimtia ukichaa itakuwaje?
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo huyo mbwa anawajua kwa majina na sura hao akina Sunzu na Boban!??? Maana aliwakimbiza bila kuelekezwa....!
   
 17. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Waliijuaje hiyo harufu..?
   
 18. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Wabwie unga,wavute bangi tunawapenda na wamefanya kazi yao tuna point 18,tunasonga na kupasua mawingu,mbwa alipenda zile jezi za simba.
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kinachopendwa huwa hakikimbizwi.
   
 20. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  We huoni ktk avatar yako unamkimbiza unayempenda kwa nyuma?
   
Loading...