Ushahidi: Kikwete anakumbatia watoa/wala rushwa

Ushahidi: Kikwete anakumbatia watoa/wala rushwa

Nafikiri yeye pia ni mtoa na mpokea rushwa, niyo maana anawakumbatia wenzake. Tofauti hapa ni kwamba yeye ndiye aliyeshika mpini hivyo kwa sasa hakuna wa kumchukulia hatua, labda akimaliza uongozi wake, utasikia mengi tu.

Mbona anafahamika sana tu. Mtoa rushwa sana tu, tena mbaya zaidi ile rushwa ya naniliu. Kaathiri nyumba za watu wengi sana, wamepewa uwaziri, ukuu wa mikoa, ukuu wa wilaya, ubunge wa viti maalum. Mpaka marehemu aliowatafuna wapo. Anapenda sana kupopochoa vya wenzie, yeye alipopopocholewa kawasweka wenzie lupango.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom