Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Swali kuhusu Ibara ya 11, 12 na ile ya 13? Je Rais anahitaji kuridhia ongezo la mishahara ya wabunge kwa mujibu wa sheria? Napendekeza kwamba (kwa maoni yangu) RAis anapewa taarifa tu; sheria haimtaki kuridhia kwani uamuzi wa mwisho wa makadirio na maamuzi ya kulipa wabunge yanafanywa na Tume hiyo. Sheria haimtaki rais kuridhia mapendekezo hayo au chombo kingine chochote.
Where did we go wrong?
Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Wabunge ya 1997 (siina uhakika kama imewahi kufanyiwa marekebisho)
NImejaribu kulinganisha japo kwa haraka haraka na tume nyingine za utumishi ili kuona kama kinachofanywa na Wabunge kinafanywa na tume hizo nyingine (walitungiwa sheria na Bunge!). Je, tume ya utumishi ya Walimu au ya Mahakama na hata tume ya Utumishi wa Umma ziko huru kama tume ya Utumishi wa Bunge kufanya wapendavyo kuhusu fedha za Watanzania? Where did we go wrong?
mkuu ni pale tulipolitosa azimio la arusha. Kabla, mbunge alitumia gari la serikali, dereva wa serikali, na hata alipobadilishiwa gari, lile la zamani liliendelea kutumiwa na idara zingine za serikali. Upuuzi wote huu wa mikopo ya magari, posho ya mafuta, posho ya vikao nk ni mazao ya utawala wa mwinyi.
Pure patriotism. Tunahitaji wabunge wa aina yako ili kuiondoa nchi hii mikononi mwa utumwa wa Pharoah (CCM)Mwanakijiji
Sheria imefanyiwa marekebisho, na inaonyesha kwamba sheria hiyo uliyoinukuu ilishafutwa na kuandikwa upya. Fanya rejea kwa kutumia The National Assembly (Administration) Act ya mwaka 2008.
Hii ndio niliyoitumia katika: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu juu ya suala zima la Posho!
Ukirejea sheria husika na maoni yangu utaona kwamba wote wawili Spika na Katibu wa Bunge wamefanya makosa; pamoja na mapendekezo ya tume ya utumishi wa ubunge; wabunge hawana mamlaka ya kujipangia posho zao. Wala hakuna siku wabunge tulikaa kwa umoja wetu na 'kujipandishia' posho. Posho hizi zimeongezwa kinyemela na kikundi kidogo cha watu katika uongozi wa Bunge, walipobaini kwamba wamekiuka sheria wakaacha kuendelea kuzilipa. Ukiondoa habari za magazetini kuwa posho hizo zimeingizwa kwenye akaunti za wabunge kwa siku tatu tu, binafsi nafuatilia kupata taarifa rasmi za kibunge kujua zimeingizwa lini, siku, ngapi, kiasi gani na kwa sababu gani. Hatimaye tutafanya maamuzi ya hatua za ziada za kuchukua juu ya jambo hili.
JJ
Mwanakijiji

Miaka hamsini ya uhuru uliopitiliza hata kutukanana wenyewe kwa wenyewe ukiachilia mbali kumtukana Rais na watendaji wake. "Watanzania ni mabwege". Hapa unamaanisha akiwemo Baba yako, Mama yako, Dada zako na ukoo wako mzima. Watake radhi hao ndugu zako wasije wakakulaani, sisi wengine tumepokea kama lilivyo.Na kikwete huyu wa maisha bora sasa kazidisha mara dufu..........na kikwete hii ni janja yake ili wabunge wasiendelee lumuumbua kwa ufisadi wake anaofanya yeye binafsi, mke wake kupitia taaisis feki, na watoto wake kupitia majengo elfu wanayomiliki tofauti na vipato vyao au vya baba yao....................
Walibya wangekuwa ndiyo watz sijui wangefanyeje na viomgozi wao.........ndio maana ghadafi hawakutaka hata afike mbele ya sheria kwani wanajua sheria zipo tu na pengine zingezeza kupindishwa.......hapa kwetu pamoja na madudu na upumbavu wote huu wa rais na watendaji anaowateua bado tunacheka nae na tunamwacha achekecheke hovyo.............
Twendeni wote barabarani kesho km nyie wajanja na mnaamini kweli mnaibiwa............."tz viongozi wahuni lakini wananchi ni mabweghe na mtu km kikwete anatumia san ubweghe wa watz kufanya atakavyo..............
1.anagawa tuzo kwa wasiostahili na kwa maslahi yake binafsi ili hoja nzito dhidfi yake na serikali yake zisiruhusiwe na anna makinda (rushwa ya nishani)....
2. Anasamehe mafisadi kila siku huku akipeleka mahakamani mafisadi bila kuwa na ushahidi ili wasikamatwe.......
3. Anawachochea watz kwa itikadi za kidini.kikwete mdini hatari sana na kuna moto wa kidini ataulipua akikaribia mwishoni mwa ngwe yake hii ..............
4. Kikwete fisadi namba moja kwa mujibu wa lowasa na hosea kule weak leaks
5.hataki kuwahukulia hatua wateule wake pamoja na makosa ya wazi mbele ya jamii................sijui kikwete afanye nini aili asihukumiwe na watz hapo baadaye
6. Anaikana waziwazi falsafa yake ya maisha bora kwa kila mtz...(hili ni tusi jingine kwa watz)
"twendeni barabarani sasa au km vipi tuwaite walibya wenye maisha magumu watusaidie kuwaongoa wabunge wa ccm wabinafsi hawa na spika uchwara na rais dhaifu na goigoi kikwete"
Mwanakijiji
Sheria imefanyiwa marekebisho, na inaonyesha kwamba sheria hiyo uliyoinukuu ilishafutwa na kuandikwa upya. Fanya rejea kwa kutumia The National Assembly (Administration) Act ya mwaka 2008.
Hii ndio niliyoitumia katika: JOHN MNYIKA: Msimamo wangu juu ya suala zima la Posho!
Ukirejea sheria husika na maoni yangu utaona kwamba wote wawili Spika na Katibu wa Bunge wamefanya makosa; pamoja na mapendekezo ya tume ya utumishi wa ubunge; wabunge hawana mamlaka ya kujipangia posho zao. Wala hakuna siku wabunge tulikaa kwa umoja wetu na 'kujipandishia' posho. Posho hizi zimeongezwa kinyemela na kikundi kidogo cha watu katika uongozi wa Bunge, walipobaini kwamba wamekiuka sheria wakaacha kuendelea kuzilipa. Ukiondoa habari za magazetini kuwa posho hizo zimeingizwa kwenye akaunti za wabunge kwa siku tatu tu, binafsi nafuatilia kupata taarifa rasmi za kibunge kujua zimeingizwa lini, siku, ngapi, kiasi gani na kwa sababu gani. Hatimaye tutafanya maamuzi ya hatua za ziada za kuchukua juu ya jambo hili.
JJ[/QUOTEHapo ndipo napokupendea mdogo wangu ur smarty. Wanapenda kuwatega sana hivyo kuweni makini na Mungu yu pamoja nanyi tunawaombea.