AshaDii omba scenario mojawapo kati ya hizo isikukute
Yaani pale unapoomba ardhi ifunguke na kukufunika na haifanyi hivyo
huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
Hahahah...:lol::lol::lol: lol...kumbe ulianza zamani?huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
Khaaa! Familia yenu kiboko! lol... How did you feel?
Wana Jamvi,
Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.
Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.
Dah utafanyaje mwana MMU?
mpaka mnaamua kukutana hamjaambiana majina tu?
The Boss,
Wewe ni noma bro, u need prayers! hehe
mpaka mnaamua kukutana hamjaambiana majina tu?
Nahisi mtakapopeana namba za simu tayari utakuwa umeshajua ni nani, hapo suala la kuonana halitakuwepo tena! Ikitokea tumeonana basi itabidi kuwa mpole tu!
nimekwambia hajui kitu hadi leo
halafu haikuwa flirt sana
more like kufahamiana
so aliponipa namba ili nimtafute tufahamiane zaidi
kumbe its her...
Dah!Wana Jamvi,
Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.
Hamad!!! unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.
Dah utafanyaje mwana MMU?
Mimi kwa mtazamo wangu sio embarrassing kivile.... Tatizo huja hapa.
- Wewe ni kijana alafu kumbe huyo mhusika age sawa na mamako.
- Wewe ni mdada/mwanamke alafu kijana mwenyewe ni 19/20 hivi.
- Mnafahamiana kabisa to the extent kila mmoja ajua hadi mke/mmeo na wote hua mnapotray ni wastaarabu.
- Ni ndugu yako kabisa wa damu.... Gosh!
- Ulivokua unategemea alivo sivo. mfano if you thot yupo kama Denzel Washington unakutana na the opposite! lol
Teh sasa nani kachemka kati yenu?huwezi amini niliwahu ku flirt na my kid sister
na yeye mpaka leo hajui
zamani kidogo,now keshaolewa
aliponitumia namba ile nataka kuisave
jina lake likaja....lol
WHAAAAAAAAAAAAAT!!!!!............God forbid oohh!
Ntamwambia ya JF yaishie JF hapa kazi tuu.
Na ntamchimba biti asimwambie yeyote kuwa tumegongana JF.
Halafu uso wa mbuzi unaendelea kama kawa.