Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Yaani tangu nimeingia hapa hakuna aliyequote post yangu hata moja. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Najitoa JF kuanzia leo. Manina!
Unavopenda kudeka Michelle lol
Ukiona hivyo,nina anayependa nimdekee....nisingedeka asingekuwepo...lol
Big sisy nimerudi but,nisaidie namna ya kurudisha furaha ya Michele!
Waoooo! Nipo fine AD, sasa hivi nimerudi kamili..habari yako Rejao, uko busy saana siku hizi... upo unadonoa tu my brother... Regards from Paw na Smiles with Love....
Waoooo! Nipo fine AD, sasa hivi nimerudi kamili..
How is Paw? Sijaona tena makeke yake.
Hope umenilindia Smile wangu kwa kipindi chote nilichokuwa on n off.
Tupo pamoja...
Hahahahah....mimi utaniweza? Kaizer...kwa hilo usihofu kabisa, nitaenda nao taratibu tu!! by then..dini yangu inaruhusu!!Mkuu issue ya Mpolee vipi siye mbona tunasubiri mahari au umegive up? Mbunge mtarajiwa yule
Uwe na amani Cantalisia wangu,mimi niko na furaha sana leo...kwanza hili jambo lililotokea limeniweka karibu sana na wewe na nimejua kazi inayokuweka mjini....naheshimu sana kazi yako....tufurahi eeehhhh!!
Wacha kujipa moyo, GM anachukuliwa na Mod sasa hivi. or rather kuna Mod anachukuliwa na GM. (source: GM)Hahahahah....mimi utaniweza? Kaizer...kwa hilo usihofu kabisa, nitaenda nao taratibu tu!! by then..dini yangu inaruhusu!!
dah! Haiwezekani....ngoja nifanye kazi ya ziada!!!Wacha kujipa moyo, GM anachukuliwa na Mod sasa hivi. or rather kuna Mod anachukuliwa na GM. (source: GM)
Sasa we utapigana front ngapi jamani? Mbona mnatumia uislamu wetu vibaya???dah! Haiwezekani....ngoja nifanye kazi ya ziada!!!
Naomba nikupe hii Mwali!!Sasa we utapigana front ngapi jamani? Mbona mnatumia uislamu wetu vibaya???
Walikushindwa watu wa jukwaa la siasa ndio nikuweze mimi? we mtu unabishana na redio?Naomba nikupe hii Mwali!!
"Basi oeni wale waliokupendezesheni katika wanawake, wawili, watatu na wanne na mkichelea kutokufanya uadilifu basi mmoja.
Annisaa 4:3.
AAAAAAAAGHHH....Mwali hapo unauaaa!!! Ngoja nijifiche tu! :behindsofa:Walikushindwa watu wa jukwaa la siasa ndio nikuweze mimi? we mtu unabishana na redio?
hahahahaha, haya, ngoja nikurahisishie basi. si wamesema wanne? wataje sasa tuone wanafika ngapi.AAAAAAAAGHHH....Mwali hapo unauaaa!!! Ngoja nijifiche tu! :behindsofa:
Nlikuwa sijui hili lisred la kuflrt bado liko hewani... anyway.....
Shkamoo babu. Nani hawa? mbona kama photoshop ilitumika?Nlikuwa sijui hili lisred la kuflrt bado liko hewani... anyway.....
bado nazidi ku-update list! Naona ka Mwali nawewe unaweza ukaingia(Joke)....hahahahaha, haya, ngoja nikurahisishie basi. si wamesema wanne? wataje sasa tuone wanafika ngapi.
RR ndo katoka kutahiriwa, yuko jandoni.Asprin kwani hawa wana Flirt
RR yuko Babu ukimuona mwambie namtafuta
Hamna cha photoshop wala nini... Wazee tunajilia vyetu kilainiiii....... hebu na wewe Come This Way.....Shkamoo babu. Nani hawa? mbona kama photoshop ilitumika?