Usemi uliokupa shule JF 2015 na kukumbusha zamani

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,076
3,804
Habari wana JF. Mwaka unapoishia ni vizuri tukumbushie semi zilizo tukumbusha mambo tuliyopitia zamani na kwa wengine hizi semi ziliwapa mafunzo mazuri.

Binafsi:

1. Mchumba hasomeshwi -

Nilishawahi kumsomesha mdada nikiamini ndo atakuja kuwa mke wangu lakini mwisho wa siku akalala mbele.

2. Mke wa mtu sumu

Huyu mke wa mtu alikuwa mzuri ila kicheche. Ikabidi tu nimpende mke wangu sana. Sumu yake ni kuumia moyo wangu sio vinginevyo.

3. Ukichapa mke wa mtu na wewe utachapiwa.

Hili bado sijaliona wazi wazi. Ila sina mazoea ya kushika simu ya wife.

4. Mume wa mtu maziwa

Naomba ufafanuzi wa hili halafu ongeza number tano na kuendelea
 
Usemi wa "mabadilikoooo" ulibamba sana. yaaani
2015 inaisha tukiwa na mabadiliko ya kweli.
 
NitakuNyosso


Ila Nasikia na Wimbo wa CCM mbele kwa Mbele unawania Tuzo Mwaka 2015 /16
 
Ukila mke wa mtu tegemea kutunguliwa mini kabang

Mtoto ukimpenda sana lazima awe mvivu kupindukia @tity
 
Back
Top Bottom