'USELA' wa Makonda

Duh kumbe Rais akienda hata Zenji lazima watu wapange foleni ya kumpokea?
sasa huu ukuu wa mkoa si adhabu sasa?
Nyani Ngabu
Hii kiboko na hapo so yeye tuu Bali msafara mkubwa wa viongozi wa kichama na serikali. Posho zitalipwa kama extra duty na mafuta. Usishangae trip ya kwenda airport kumpokea mheshimiwa ikaandikiwa 10,000litres huku ndiko kubana matumizi kulikotukuka kwa kiwango cha lami
 
Yeye ni Mkuu wa Mkoa!. Raisi amefika kwenye Mkoa wake, lazima aende kumpokea! Hio ndio Protocol, kama matamko yake yanakuhusu badilika, mbona sisi wenzio tunaishi kwa amani!.
 
anatakiwa kupunguza mwili, ni mdogo kwangu, yeye ana kitambi mimi sina hata cha kuazima. akifika umri wangu kuuzibiti mwili itamuwia vigumu sana. maisha na afya sio kula tu, na kufanya mazoezi ni afya pia. kila akivaa nguo inaonekana inambana.
 
[HASHTAG]#Hakuna[/HASHTAG] wa kufundisha umma huu? Securitywise yeye ndo wa kumpokea Rais anapotoka nje ya nchi na kumuhakikishia USALAMA..,.. Kuhusu kuvaa hata mimi nakiri amekosea kwa uelewa wangu maana angeweka hata koti JUU KWA Heshima ya anaempokea na kiprotocal,.....alafu najiuliza huwa hatembei na silaha yake kiunoni??
 
Hivi sio utaratibu mkuu wa mkoa kumpokea Rais?
 
Yaani wanao weka Biblia ktk jukwaa la siasa hawana tofauti na wale wahubiri wa kwenye basi.
Huwa hawaendi kanisani wala chuo cha Biblia hawajui kiko mtaa gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…