Whats up gud pipo,
am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.
Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.
Hapoi unataka kipi Red au BlueWhats up gud pipo,
am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.
Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.
bajeti yangu ni isizidi 200 $
zipuwawa dia nipo dar, i wish i culd buy a nwe one but budget constraint. Si unajua tena pesa zenyewe za manati.
bajeti yangu ni isizidi 200 $
huwezi amini hata ukicheki ebay, used laptop si bei hiyo 200usd ni ndogo sana kwa laptop yenye features nzuri... (hii ni kwa imported laptops)
lakini ajabu ni kwamba bongo unaweza pata laptop nzuri hata kwa laki nne au mpaka tatu na nusu.... Why utajiuliza???? Ni kwa sababu zifuatazo:-
hope this helps.... Hata nje england a decent laptop kwenye sales itakuwa kuanzia paundi 350 usa labda kuanzia kwenye 250usd kabla haujaweka shipment
- laptop za wizi (kutoka mikoa mingeni na nchi jirani kenya uganda etc)
- ugumu wa maisha, mtu anaamua kuuza mashine yake kwa bei nafuu
asante sana vor, anyway i dont need a fancy one ila yenye features za kawaida tu.
basi nunua hapa hapa bongo nje hautapata... Weka advert kwenye matangazo madogomadogo hapa jf "nataka kununua laptop for around 200usd) am sure kuna mdau labda anataka kuuza yake.