chakutu
Member
- Feb 23, 2018
- 75
- 64
Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
Mkuu ningeshauri tumia mitandao yenye mawakala hapa Tanzania kama Be Forward nk. Hawa wengine unaweza poteza hela yako.Naomba kujuzwa mwenye uelewa na kampuni ya magari yenye link (www.goo-net-exchange.com) juu ya uaminifu wao.
Be Forward,Enhance AUTO,na wengine wapo offisi zao pale NHC house SamoraSawa Mkuu nashukuru kwa ushauri.
Naomba unijuze mitandao mengine yenye mawakala Tanzania kama unafahamu