Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,574
- 65,429
nimecheka sana!Not applicable to multifunctional space za bongo- chumba kimoja bedroom,sitting room, jikoni , bathroom(unakoga umesimama ndani ya basin la kufulia)
nimecheka sana!Not applicable to multifunctional space za bongo- chumba kimoja bedroom,sitting room, jikoni , bathroom(unakoga umesimama ndani ya basin la kufulia)
Hhahahahaha kwa ufup watu tunaish store haaahNot applicable to multifunctional space za bongo- chumba kimoja bedroom,sitting room, jikoni , bathroom(unakoga umesimama ndani ya basin la kufulia)
Not applicable to multifunctional space za bongo- chumba kimoja bedroom,sitting room, jikoni , bathroom(unakoga umesimama ndani ya basin la kufulia)
Nifa Yakwako Nasikia Unaichajia Kwenye Pipa Lol.Wewe hujui kama zinalipuka?
Wenye nazo wameambiwa wazirudishe Samsung,wapewe nyingine.
jamani!Nifa Yakwako Nasikia Unaichajia Kwenye Pipa Lol.
Kuhongwa Note 7 Hutakijamani!
Hata hivyo situmii note,natumia Galaxy.
MhhhhhhKuhongwa Note 7 Hutaki
Kuna Sponsor Anataka Uchague Iphone 7 Au Note 7 In Exchange For Your Weekend Time.
Maana Ukishindwa Kuhonga Personally Inabidi Ujoin Wanaoweza Kuhonga. Kacommission Kangu Kapo Hapo.Mhhhhhh