JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
- Thread starter
- #81
Pakacha said:hayo mambo yana mazonge sana. Tatizo siyo Zanzibar kuanzisha vyombo kama hivyo, wanaweza kuanzisha, lakini vinashindwa kufanya kazi vinapingwa na vyombo vya Muungano ambavyo vinakuwa vinaanzishwa kwa sheria ya Bunge kwa mintarafu ya kuhudumia Tanzania nzima. sasa zile sheria za Bunge hazitoi provision kwa Zanzibar- ina maana hazitambui kuwepo kwa mamlaka ya Zanzibar jambo ambalo limo katika katiba (sheria Mama). Ni mazonge Bwana tukisema turekebishe -hamtaki- mnatwambia sisi ni ngumbaru tunaishia madrasa tu.
Pakacha,
..sasa katika suala la bandari huru Zanzibar chombo gani cha Tanganyika kinawazuia kinawazuia kufanya shughuli zenu?
..kwanini unashauri Bunge la Dodoma liweke "provision" kwa masuala ya Zenj, wakati tayari kuna malalamiko ya wa-Zenj kwamba hawataki masuala yao yaamuliwe Dodoma?
..mimi nadhani wa-Zenj muondoke tu ktk muungano huu. hii habari ya kurekebisha ni kupotezeana muda tu.
Spear,
..Zanzibar mkiamua kufanya kazi kwa bidii mnaweza kuwa kama Singapore.
..madai kwamba wa-Tanganyika wanawawekea vikwazo ni visingizio tu.