USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

Ovyooo kabisa mkinambia kwa kazi hii ndo amekuwa Prof. ntajinyonga nife.

Umeshakisoma hicho kitabu? Ni mapungufu gani yamekufanya hata ukatae [ukatae katakata, hata kutishia kujitoa roho] kuwa Malyamkono si Professor?
 
Sasa anataka watu waamini kuwa zanzibar haiwezi kujifanyia lolote bila ya muungano, huu ni upuuzi kabisa, kwani wazanzibar walilazimishwa kuingia katika muungano kwasababu ya umasikini? au haikuweza kujiendiesha wenyewe kiuchumi kabla ya muungano? hii ni kuficha ukweli kwa makusudi, kwasababu ni muungano unaowatia ufukara wazanzibari kwa kuwabana katika kupata fursa za kimaendeleo na kujiinua kiuchumi.
Kabla ya muungano huu wa kifisadi, uwezo wa zanzibar kiuchumi ulikuwa mkubwa kuliko wa Tanganyika na kuna kumbukumbu sahihi za kihistoria zinazoonyesha jinsi zanzibar ilivyowahi hata kutoa misaada ya kiuchumi kwa nchi kama Yemen na hata jirani zao wati huo Tanganyika.Sasa kama nchi inaweza kutoa msaada wa kiuchumi kwa nchi nyengine tena wa ghafla wakati wa maafa, ndo itakua na uchumi mdogo utakaohitaji iungane na nchi nyengine kujiendesha? Leo tujiulize uwezo ule umepotelea wapi? Malyamkono anawazuga "vichwa Panzi" kama yeye. zanzibar licha ya udogo wake na rasilimali zake kuwa chache, historia inaonyesha kuwa iliwahi kujieneza katika mtandao wa kibiashara uliounganisha nchi zote za bahari ya hindi, leo uhusiano huo mkubwa uliowahi kuiinua kibiashara na kukuza uchumi wa zanzibar inaukumbuka kupitia TAMASHA LA MAJAHAZI tu, ni ufisadi unaoitwa "Mapinduzi matukufu ya 1964" na "muungano wa 1964" umezima na kufisidi maendeleo hayo, na leo wanaibuka "vichwa Panzi" kama hawa wanaojiita Maprofesa, kutwambia eti bila ya muungano zanzibar ita suffer kiuchumi, ah! this is absurd... angenambia maneno kama haya mbele yangu ningemchapa kofi.
 
Kwani ni mambo gani yanayoweza kupelekea uchumi (na hali ya maisha) kukua? Muundo wa kiutendaji wa serikali hizi mbili kwa sasa ukoje? Je, ni lazima Zanzibar kupata kibali cha Serikali ya Muungano pindi wakitaka kutekeleza mradi fulani (kwa mfano kujenga Chuo Kikuu au hospitali au Kuuza karafuu nje ya nchi)? Kama jibu ni ndio, Je Serikali ya Muungano imekuwa ikitoa vibali hivyo au la? Je, pindi muungano ukivunjika, ni mambo gani Zanzibar watayafanya kukuza uchumi wao ambayo ndani ya muungano "hawaruhusiwi" kuyafanya? Mimi ni miongoni mwa wale uliowaita "vichwa vya panzi". Napata shida sana kuelewa ni kwa namna gani Serikali ya Muungano (Serikali ya Bara for that matter) inavyodidimiza uchumi wa Zanzibar. Majibu kwa maswali yangu ya "kitoto" yatasaidia sana kuelewa tatizo hili.
 
aka maproffessa wetu na na tafiti zao....zisizo na mshiko wala macho....mpaka unajiukiza kweli tuna maproffesa hapa ama ni mchezo wa kuigiza tu...ndio maana ukiangalia vipindi vya mijadala ni wale wale kila siku....wanabadilishana stesheni tu hatuna kitu....
Tuje kwenye hoja ya msingi usd 1,200. Kwa kila mzanzibari ????????ambayo tafiti ya kaproffessa wetu anasema inalipwa kama ruzuku na serikali ya tanganyika aka tanzania smt kwa smz.....kaproffesa huo sio mzigo ndio haki yao tena bado ni ndogo....kwani wewe hujui kama smt inakusanya ushuru ufuatao kwa niaba ya zanzibar:

  • visa...wageni waingia zenj pamoja na watalii ni zaidi ya 250,000 kwa mwaka na gharama ya visa fees ni usd 50.
    Airports charges kwa ndege zituazo zenji...kwa siku zinatua ndege si chini ya 10 zenji na fees zake zinaingia smt
    shughuli za posta na vifurushi upande wa zenji zote zinaingia hazina ya smt
    vat taxi yote itozwato zenji inaingia katika hazina ya smt...
    Leseni fees za kuvulia zote za zenji zinaingia hazina smt
    leseni za mawaasiliano na simu za zenji zote zinaingia hazina smt
    misaada yote ya bajeti kwa tanzania !!!kutoka kwa wahisani tofauti inaingia hazina ya smt
    masirika yote ya un kama who, unicef, imf, world bank nk yapo tanganyika na smz hawana mawasiliano nayo moja kwa moja hawawezi wanazuiwa kufanya hivyo.
    Mikopo yote kwa smz mpaka wapate kibali cha hazina na bot tanganyika na mara zote wana wekewa ngumu.
    Balozi zetu 98% zinawakilishwa na watanganyika to the detriment of zenji....kazi moja ya balozi ni kupromote nchi ughaibuni hivyo zanzibar haifaidiki
    kuzuiwa kwa zenji kufanya biashara huria katika baadhi ya maaneo lakini wao tanganyika aaaah ruhsa
    kuweka fedha zote katika bank kuu ya tanganyika bila ya riba
    ile kukubali tu kwa tanganyika masharti ya imf miaka ya 1980's basi gharama yake kiuchumi kwa zenji ni zaidi ya trillion dollari...kwani tanganyika walikua wakishusha thamani ya pesa ya tz bila ya kufukiria upande wa pili..ilhali wao wakipewa fedha za 'kufufua uchumi wao' na zenji kubeba zigo lote la kushuka thamani ya pesa ya tz bila ya msaada wala kuwapo any kikao kuzungumzia impact yake kwa uchumi wa zenji..
    Hatimaye uchumi wa zenji japo unajiendesha wenyewe lakini kutokana na muungano huuu hauwezi kamwe hata wakichimba mafuta kuwaletea tija wazenji..wamebanwa na watanganyika..kwani nguvu ya kuweka thamani ya pesa ipo tanganyika na zenji hata uchumi wake ukawa wa petrol basi infaltion inaamuliwa na hali yauchumi wa tanganyika...njia pekee labda zenji wawe na currency yao pekke lakini namna hiii kapprffesa wangu zenji inatakiwa kulipwa fidia zaidi na tanganyika zaidi ya usd 1200 kwa mzenji
 
andindile,

..umedai Tanganyika ikiwa masikini basi hali hiyo husambaa mpaka Zanzibar.

..je Tanganyika ikiwa tajiri utajiri huo husambaa na Zanzibar pia?

..vipi Zanzibar ikiwa tajiri?? je utajiri huo husambaa mpaka Tanganyika?

..Zanzibar ikiwa maskini what happens to Tanganyika? je, tunabeba mzigo wa kuwahifadhi wakimbizi wa kiuchumi toka Zanzibar?

NB:

..kama Zanzibar inaweza kuwa kama Seychelles au Mauritius kwanini haijafanya hivyo mpaka sasa hivi?
..kwa misaada, ruzuku, na soko kubwa liloko Tanganyika, Zanzibar walipaswa kuwa wameendelea kuliko hao kina Seychelles na Mauritius.

..Seychelles wamejikwamua kiuchumi kwa kuimarisha utalii. sasa nini kinawashinda Wazanzibar kuimarisha sekta moja tu ya uchumi kama utalii?
Itafanyaje? wakati Bara imeidhibiti Zanzibar. Wewe unaelewa kuwa kama Zanzibar ingekuwa huru peke yake ingeweza kuishi kwa magendo tu - ya mali na vitu kutoka Bara, Naam Zanzibar ingekuwa ni soko. Na nyinyi jitapeni tu na dhahabu zenu mkonge wenu, pamba yenu na kila kitu chenu kingekuwa kinaletwa pale - sokoni- Mshukuruni Nyerere kwa kuidhibiti Zanzibar. Lakini Zanzibar haiwezi kuwa msikini hata siku moja. Na Tanganyika haiifadhili Zanzibar. Kwa ilivyo Zanzibar ni lazima ichume tu kutoka Tanganyika kihalali au ki-haramu. sasa nafikiri wewe hutaki ichume kihalali. sawa tuvunje Muungano na Zanzibar ichume ki-haramu.
 
aka maproffessa wetu na na tafiti zao....zisizo na mshiko wala macho....mpaka unajiukiza kweli tuna maproffesa hapa ama ni mchezo wa kuigiza tu...ndio maana ukiangalia vipindi vya mijadala ni wale wale kila siku....wanabadilishana stesheni tu hatuna kitu....
Tuje kwenye hoja ya msingi usd 1,200. Kwa kila mzanzibari ????????ambayo tafiti ya kaproffessa wetu anasema inalipwa kama ruzuku na serikali ya tanganyika aka tanzania smt kwa smz.....kaproffesa huo sio mzigo ndio haki yao tena bado ni ndogo....kwani wewe hujui kama smt inakusanya ushuru ufuatao kwa niaba ya zanzibar:

  • visa...wageni waingia zenj pamoja na watalii ni zaidi ya 250,000 kwa mwaka na gharama ya visa fees ni usd 50.
    Airports charges kwa ndege zituazo zenji...kwa siku zinatua ndege si chini ya 10 zenji na fees zake zinaingia smt
    shughuli za posta na vifurushi upande wa zenji zote zinaingia hazina ya smt
    vat taxi yote itozwato zenji inaingia katika hazina ya smt...
    Leseni fees za kuvulia zote za zenji zinaingia hazina smt
    leseni za mawaasiliano na simu za zenji zote zinaingia hazina smt
    misaada yote ya bajeti kwa tanzania !!!kutoka kwa wahisani tofauti inaingia hazina ya smt
    masirika yote ya un kama who, unicef, imf, world bank nk yapo tanganyika na smz hawana mawasiliano nayo moja kwa moja hawawezi wanazuiwa kufanya hivyo.
    Mikopo yote kwa smz mpaka wapate kibali cha hazina na bot tanganyika na mara zote wana wekewa ngumu.
    Balozi zetu 98% zinawakilishwa na watanganyika to the detriment of zenji....kazi moja ya balozi ni kupromote nchi ughaibuni hivyo zanzibar haifaidiki
    kuzuiwa kwa zenji kufanya biashara huria katika baadhi ya maaneo lakini wao tanganyika aaaah ruhsa
    kuweka fedha zote katika bank kuu ya tanganyika bila ya riba
    ile kukubali tu kwa tanganyika masharti ya imf miaka ya 1980's basi gharama yake kiuchumi kwa zenji ni zaidi ya trillion dollari...kwani tanganyika walikua wakishusha thamani ya pesa ya tz bila ya kufukiria upande wa pili..ilhali wao wakipewa fedha za 'kufufua uchumi wao' na zenji kubeba zigo lote la kushuka thamani ya pesa ya tz bila ya msaada wala kuwapo any kikao kuzungumzia impact yake kwa uchumi wa zenji..
    Hatimaye uchumi wa zenji japo unajiendesha wenyewe lakini kutokana na muungano huuu hauwezi kamwe hata wakichimba mafuta kuwaletea tija wazenji..wamebanwa na watanganyika..kwani nguvu ya kuweka thamani ya pesa ipo tanganyika na zenji hata uchumi wake ukawa wa petrol basi infaltion inaamuliwa na hali yauchumi wa tanganyika...njia pekee labda zenji wawe na currency yao pekke lakini namna hiii kapprffesa wangu zenji inatakiwa kulipwa fidia zaidi na tanganyika zaidi ya usd 1200 kwa mzenji
Nawashangaa hao Maprofessa na uwezo wao. Hivi huyo naye anaeleza nini na utafiti bomu huo.
 
Kwani ni mambo gani yanayoweza kupelekea uchumi (na hali ya maisha) kukua? Muundo wa kiutendaji wa serikali hizi mbili kwa sasa ukoje? Je, ni lazima Zanzibar kupata kibali cha Serikali ya Muungano pindi wakitaka kutekeleza mradi fulani (kwa mfano kujenga Chuo Kikuu au hospitali au Kuuza karafuu nje ya nchi)? Kama jibu ni ndio, Je Serikali ya Muungano imekuwa ikitoa vibali hivyo au la? Je, pindi muungano ukivunjika, ni mambo gani Zanzibar watayafanya kukuza uchumi wao ambayo ndani ya muungano "hawaruhusiwi" kuyafanya? Mimi ni miongoni mwa wale uliowaita "vichwa vya panzi". Napata shida sana kuelewa ni kwa namna gani Serikali ya Muungano (Serikali ya Bara for that matter) inavyodidimiza uchumi wa Zanzibar. Majibu kwa maswali yangu ya "kitoto" yatasaidia sana kuelewa tatizo hili.
Jibu lako - ni rahisi tu.Tanganyika wanatumia ujanja. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri lakini katika maandishi tu. Utekelezaji ndio una walakin na unaididimiza Zanzibar. Vyombo vyote vya SMT vinaididimiza Zanzibar na kwa kuanzia ni Bunge lenyewe la Jamhuri ya Muungano. Muundo wake ni mzuri hauna walakin, lakini utekelezaji pale katika Bunge unaididimiza Zanzibar- na sheria zote zinazopitishwa pale hazizingatii yale ya msingi yaliyo katika Muungano. Sasa usiniulize - katika wapitishaji sheria hizo - kimfumo Zanzibar wamo ( tunao wabunge kibao pale) lakini ndiyo hivyo zinapitishwa.
 
zungu pule,
kuongezea tu waliyosema wakuu hapo juu, mambo yapo mengi sana hatutamaliza kuyasema yote tutapoteza muda bure kwa kuwa yanasemwa kila siku na kupewa majina tofauti, kwani hujawahi kusikia msamiati wa "kero za muungano" mimi nimezaliwa nimeukuta ukitafutiwa ufumbuzi mpaka nimekuwa bado ufumbuzi haujapatikana na zanzibar inadidimia kila siku.
Unakumbuka komandoo alipojaribu kutafuta marafiki wa kweli(OIC) wa kuisaidia zanzibar isitapetape kiuchumi, nini kilitokezea?
Unakumbuka zanzibar ilipokuja na mkakati wa bandari huru nini SMT ilifanya?
hayo madogo tu makubwa yana nafuu, hata fursa ya wazanzibar kuchagua viongozi wanaowataka SMT imekuwa ni kikwazo, huku ni kurejeshana nyuma kimaendeleo.
 
kwanini wazanzibari msijitoe kwenye huu muungano unaowakandamizeni kama wengi wenu mnavyoamini?...ufike wakati muandamane na ipigwe jura ya kuamua hatma yenu...maana hata mie NAIMISS SERIKALI ILIYOPOTELEA KWENYE MUUNGANO YA TANGANYIKA...mkiwa huru nje ya muungano nasi huru nje ya muungano itapelekea kila upande uwe na ufanisi zaidi na mashindano hayo ya mafanikio yatapelekea kukuza chumi za nchi zote mbili....kila la kheri zanzibari huru

kwani hii kazi ya kuandika kitabu huyu professa alitumwa na mtu au ni utashi wake na msukumo wake wa kufanya research uliopelekea kugundua kuwa ki-uchumi zenji ni kimeo kwenye muungano???....kama katumwa basi ufumbuzi wake upo ki-maslahi ya waliomtuma ...na kama amefanya research kwa msukumo wake mwenyewe basi HABARI NDO HIYO...

Professa ni mtu kama watu wengine na yupo subjected to challenges kwenye hiyo research yake...ila kila challenge inayoenda kwa prof. iwe na intellectual evidences...ZANZIBAR BILA MUUNGANO HAIWEZI KUWAPO...huu ni upuuzi kwa sababu zipo nchi na vipo visiwa havina muungano na nchi yoyote na vinasurvive tena katika hali ya juu sana kiuchumi..eg. sychelles, cuba na kwingine kwingi tuu....hapa ndio naingiwa hisia kuwa muheshimiwa prof. ULITUMWA na wanaoutetea muungano kwa maslahi yao....

ZANZIBAR IFANYEJE KUONDOKANA NA AIBU HII ILIYOPIKWA KUULINDA MUUNGANO?
1- JITOENI KWENYE HUU MUUNGANO MAANA KUNA MAMBO KIBAO YANAWABANA KUFANYA MAMBO YENU(muwe makini msije tena kujitenga na pemba na unguja)
2- FANYENI KAZI KKWA BIDII...(Nyie wenzetu mmezidi uvivu na umwinyi wa kutisha..hakuna maendeleo bila kufanya kazi kwa bidii tena sanaaa)
3- SOMENI SANA..maana nyie wenzetu mwategemea misaada zaidi toka kwa ami zenu walioko arabia na ulaya

NI HAYO TU...
 
who cares,
"ZANZIBAR BILA MUUNGANO HAIWEZI KUWAPO...huu ni upuuzi kwa sababu zipo nchi na vipo visiwa havina muungano na nchi yoyote na vinasurvive tena katika hali ya juu sana kiuchumi..eg. sychelles, cuba na kwingine kwingi tuu....hapa ndio naingiwa hisia kuwa muheshimiwa prof. ULITUMWA na wanaoutetea muungano kwa maslahi yao...."

kura ya maoni itafanywa litakapokuja suala la kuwagonganisha vichwa wazanzibar na si katika masuala ya maslahi yao. Utegemegemezi ni hali iliyochangiwa na mfumo wenyewe wa muungano, sasa wazanzibar wajibidiishe vipi na kazi wakati hazipo, na zilizokuwapo ndo wenzetu mmezijaza kama wenyewe hawazitaki, tabia ya kuombaomba sijua umekusudia wazanzibar wanapewa na jamaa zao wa "diaspora" au wagogo kule dodoma!
 
..inaelekea Mzee Thabit Kombo aliwaelewa vizuri sana wapinga Mapinduzi na Muungano.

..hawa wenzetu wanajiona wao ni binadamu zaidi kuliko sisi Waafrika. ndiyo maana hawaoni shida kudai tugawane mapato 50/50 wakati Zanzibar ni 1/37 ya wa-Tanzania wote.

Simulizi za Thabit Kombo said:
"Fikira hizi ni za wale waliotimuliwa, wanaotamani kuwa watawala wa watwana wao mpaka sasa, wao Muungano kweli unawatia hasara kubwa na hivyo hivyo baadhi ya Waafrika, waliozoea kutawaliwa hata wasione kuwa ni fedheha wao kama santuri wanaimba wimbo wa mabwana zao kuwa Muungano umewaharibia uhondo waliokuwa wakiupata."
 
..kuna chombo kinaitwa Zanzibar Free Port Authority. nimesoma kwamba kimeanzishwa mwaka 1998. sasa haya manunguniko kwamba Tanganyika inazuia kuanzishwa bandari huru Zanzibar yanatoka wapi?
 
Haya mambo ya kuwa bara inanunua usalama kwa kuishikiria Zanzibar ni mambo ya kizamani kweli kweli. Ni suala la kihistoria zaidi lililobaki lakini ukweli kuwa muungano ni hasara tupu kwa bara haupingiki. Hilo liko wazi hasaa.

Kuurekebisha kwa kuunda serikali ya tatu itakuwa sawa na Tanganyika kuwa na serikali mbili kwani ile ya muungano itakuwa haina maana na itakuwa duplication. Na huwezi kugawa sawa kwa sawa mapato ya muungano ambayo more than 95% yanakusanywa bara.

Muungano imebaki ni legacy thing tuu. Ni headache kwa viongozi kwani makelele ya wapemba na waunguja si haba. Gharama ya legacy ndio tunayoiona leo na ukweli Tanganika pay far more kuliko hicho kilichokuwa reported.

Sasa muungano wa nini? .... Legay na status quo. Wakati Zanzibari inalilia kupewa uhuru wake, Tanganyika ingefanya la maana kwa kuwaachia tu. Nyerere had his own fears lakini tumeshaona kuwa si kila kitu alichofikiria baba wa Taifa wa the right thing for us forever.

Wanaosema Zanzibar is too small to have any impact bara, ni kweli. Ila economic impact ni kubwa kwa sababu the volume of our economy is too small. What ever we are losing to Zanzibar kina significance if it was spent bara.
 
Wengi wanaolilia lia hapa hawapo Visiwani: wapo Uarabuni, Ulaya na Amerika, na wengine ndo wale waliokimbia kwa ubnafsi au sababu zingine!

Hiyo serikali ya Muungano ya nini wakati 97% bado itagharmiwa na bara? Sasa Visiwani watakuwa na faida gani kwa bara?

Malalamiko na kulia lia kila siku kama baby!
 
kwanini wazanzibari msijitoe kwenye huu muungano unaowakandamizeni kama wengi wenu mnavyoamini?...ufike wakati muandamane na ipigwe jura ya kuamua hatma yenu...maana hata mie NAIMISS SERIKALI ILIYOPOTELEA KWENYE MUUNGANO YA TANGANYIKA...mkiwa huru nje ya muungano nasi huru nje ya muungano itapelekea kila upande uwe na ufanisi zaidi na mashindano hayo ya mafanikio yatapelekea kukuza chumi za nchi zote mbili....kila la kheri zanzibari huru

kwani hii kazi ya kuandika kitabu huyu professa alitumwa na mtu au ni utashi wake na msukumo wake wa kufanya research uliopelekea kugundua kuwa ki-uchumi zenji ni kimeo kwenye muungano???....kama katumwa basi ufumbuzi wake upo ki-maslahi ya waliomtuma ...na kama amefanya research kwa msukumo wake mwenyewe basi HABARI NDO HIYO...

Professa ni mtu kama watu wengine na yupo subjected to challenges kwenye hiyo research yake...ila kila challenge inayoenda kwa prof. iwe na intellectual evidences...ZANZIBAR BILA MUUNGANO HAIWEZI KUWAPO...huu ni upuuzi kwa sababu zipo nchi na vipo visiwa havina muungano na nchi yoyote na vinasurvive tena katika hali ya juu sana kiuchumi..eg. sychelles, cuba na kwingine kwingi tuu....hapa ndio naingiwa hisia kuwa muheshimiwa prof. ULITUMWA na wanaoutetea muungano kwa maslahi yao....

ZANZIBAR IFANYEJE KUONDOKANA NA AIBU HII ILIYOPIKWA KUULINDA MUUNGANO?
1- JITOENI KWENYE HUU MUUNGANO MAANA KUNA MAMBO KIBAO YANAWABANA KUFANYA MAMBO YENU(muwe makini msije tena kujitenga na pemba na unguja)
2- FANYENI KAZI KKWA BIDII...(Nyie wenzetu mmezidi uvivu na umwinyi wa kutisha..hakuna maendeleo bila kufanya kazi kwa bidii tena sanaaa)
3- SOMENI SANA..maana nyie wenzetu mwategemea misaada zaidi toka kwa ami zenu walioko arabia na ulaya

NI HAYO TU...

Nakupongeza na ujasiri wako wa kututaka tujitoe. Lakini fikiria kujitoa hiyo haitakuwa tupu. Kuna fidiaambayo Jamhuri ya Muungano itabidi iilipe Zanzibar- na hiyo ndiyo iliyokuwa inamuumisha kichwa Nyerere katika lile sakata la Mzee Jumbe na kuchafuka kwa hali ya hewa- Upo hapo? swahib.
 
Prof. Teddy malyamkono is he still on medication?
 
Wengi wanaolilia lia hapa hawapo Visiwani: wapo Uarabuni, Ulaya na Amerika, na wengine ndo wale waliokimbia kwa ubnafsi au sababu zingine!

Hiyo serikali ya Muungano ya nini wakati 97% bado itagharmiwa na bara? Sasa Visiwani watakuwa na faida gani kwa bara?

Malalamiko na kulia lia kila siku kama baby!
Wewe acha Bwana hivyo watu kudai haki iliyo yao ni kulia au ni ujasiri- Tafadhali Bwana.
 
Wengi wanaolilia lia hapa hawapo Visiwani: wapo Uarabuni, Ulaya na Amerika, na wengine ndo wale waliokimbia kwa ubnafsi au sababu zingine!

Hiyo serikali ya Muungano ya nini wakati 97% bado itagharmiwa na bara? Sasa Visiwani watakuwa na faida gani kwa bara?

Malalamiko na kulia lia kila siku kama baby!

After a period of friction between Singapore and the central government in Kuala Lumpur, Singapore separated from Malaysia on August 9, 1965, and became an independent republic
Facing severe unemployment and a housing crisis, Singapore embarked on a modernisation programme that focused on establishing a manufacturing industry, developing large public housing estates and investing heavily on public education. Since independence, Singapore's economy has grown by an average of nine percent each year. By the 1990s, the country has become one of the world's most prosperous nations.
 
..kuna chombo kinaitwa Zanzibar Free Port Authority. nimesoma kwamba kimeanzishwa mwaka 1998. sasa haya manunguniko kwamba Tanganyika inazuia kuanzishwa bandari huru Zanzibar yanatoka wapi?
hayo mambo yana mazonge sana. Tatizo siyo Zanzibar kuanzisha vyombo kama hivyo, wanaweza kuanzisha, lakini vinashindwa kufanya kazi vinapingwa na vyombo vya Muungano ambavyo vinakuwa vinaanzishwa kwa sheria ya Bunge kwa mintarafu ya kuhudumia Tanzania nzima. sasa zile sheria za Bunge hazitoi provision kwa Zanzibar- ina maana hazitambui kuwepo kwa mamlaka ya Zanzibar jambo ambalo limo katika katiba (sheria Mama). Ni mazonge Bwana tukisema turekebishe -hamtaki- mnatwambia sisi ni ngumbaru tunaishia madrasa tu.
 
Jibu lako - ni rahisi tu.Tanganyika wanatumia ujanja. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri lakini katika maandishi tu. Utekelezaji ndio una walakin na unaididimiza Zanzibar. Vyombo vyote vya SMT vinaididimiza Zanzibar na kwa kuanzia ni Bunge lenyewe la Jamhuri ya Muungano. Muundo wake ni mzuri hauna walakin, lakini utekelezaji pale katika Bunge unaididimiza Zanzibar- na sheria zote zinazopitishwa pale hazizingatii yale ya msingi yaliyo katika Muungano. Sasa usiniulize - katika wapitishaji sheria hizo - kimfumo Zanzibar wamo ( tunao wabunge kibao pale) lakini ndiyo hivyo zinapitishwa.

Nimeuliza maswali very specific yaliyohitaji majibu, wewe ume-generalize na kutoa jibu. Could you please be specific?
 
Back
Top Bottom