USB port kwenye begi

USB port kwenye begi

Ngoja nicheck critically umeongea point
Hizo bag zinakuwa na usb port pamoja na sehem ya kuchomeka earphones.

Ukiangalia vizuri ndani ya bag, kuna nyaya zenye sehem ya male usb port kwa ajili ya kuchomeka kwenye power bank. Pia utakuta male earphone cable ya kuchomeka kwenye simu.

Hizo unazoziona zimetokeza kwa nje, zote ni female ports.
 
Nimesoma pia kuwa inakuwa kwa ajili ya power bank. Hizo za ndani ya begi ndio sijaziona
 
Nina bag kama hili lina USB port na headset port
Naweza unganisha power ikiwa ndani ya bag niendelee ku browse au naweza weka simu kwa bag nikiwa nimechagua play list yangu na port ya headset ipo kwenye mkono mmoja
 
Sasa simu ukiificha huko ndani ikipigwa inabidi uanze kufungua begi au kuchat ukupige stop.

Nafikiri wireless headsets zinamaliza hilo swala.
 
Kwa kukusaidia tu.
Narudia tena,,, kwa kukusaidia tu.

Imebainika kuwa MGONGO wa binadamu hutoa nguvu za umeme,,,, na kwa hiyo ukiwa umelivaa nguvu ya umeme inayotoka kwenye mgongo wako huingia kwenye begi kwa mtindo wa inxcftom (Hilo ni neno la kitaalam sana) na hivyo begi kuwa na umeme.

Ngozi ya begi hilo lazima iwe imetengenezwa kwa matirio yaitwayo asrtqogy (neno la kitaalam pia) ili kuweza kuvuna umeme unaotoka mgongini mwako na kuingia kwenye begi.
Baada ya hapo begi lako huupeleka umeme huo kwenye USB kwa njia isiyotumia waya na njia hiyo kitaalam huitwa pythogh.
Nadhani umeelewa sasa
 
Rudia tena
 
Nimecheka sana! Ahsante mwalimu Kashasha
 
Ndani unaweka power bank alafu nje unacharge mzee.
15.6_laptop_backpack_grande.jpg
 
Back
Top Bottom