Usanii wa ving'amuzi vya star times. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usanii wa ving'amuzi vya star times.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by A2 P, Aug 25, 2012.

 1. A2 P

  A2 P Senior Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu wana jf mimi ni mteja wa star times ila niliacha kulipia muda kwani mimi kama mimi sijaona chanel ya maana. Juzi kati wakatangaza kuongeza local chanel, kweli waliongeza itv, ea tv, dtv, star tv na wakaondoa tv emanuel. Cha kushangaza ndani ya siku mbili wakazitoa na kila ukiwapigia wanadanganya kuwa ni network mafundi wapo kazini. Katika chanel zao za ajabu hakuna hata moja yenyekutupa uhondo wa mpira tofauti na wenzao wa ting. Hivi wakuu kuendelea kulipia 9000 au 54000 kwa mwezi si wizi mkubwa? Tulikuwa tunafanya manual setting na kupata japo atn ila kwa sasa tunapata sauti tu. Kama kuna mwenye ujanja wa kupata atn na nyingine tujulishe. Nawasilisha
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,494
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  h
  wale ni wahuni,alafu mamlaka husika hawachukui hatua.kwanini wametoa emanuel tv? watu wamejiunga wakaitoa. wapuuzi hawa wachina.mbona nchi nyingine ukifatilia hawafanyi usanii kama huu? wapuuzi hawa
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Wachina wa Kikwete are above the law
   
 4. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  ..Ni kweli hili jambo limetokea. Wasiwasi wangu ni kwamba waliziingiza chanel mpya za kiswahili bila kuwasiliana na wahusika, baada ya kushtukiwa wakaziondoa.
   
 5. C

  CHOMA Senior Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa Wachina wa Startime ni Wasanii wa kutupwa na wako juu ya Mamlaka husika ndio maana Mamlaka zinazohusika hazina la kuwaambia.
   
 6. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Najuuta kuwafahamu Startimes!Walikuwa wanapandisha mauzo yao.
   
 7. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mimi niliwapiga chini long time. Ilikuwa mwaka jana, wakati nanunua king'amuzi, muuzaji akaninong'oneza kuwa pamoja na kwamba hakina itv na star tv, ati anaweza akaziingiza kwa kuchakachua na bei ya kuchakachua ni elfu ishirini. Nikamwambia usenge huu sifanyi. Nilimripoti, sijui kilichojiri. Hawana maana.
   
 8. gulio

  gulio JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wezi wengine hata aibu hawana. boss wao nani? hasa
   
 9. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  km ambavyo ni vigumu kuitenganisha TBCCM na CCM ndivyo hivyo hivyo ni vigumu kutenganisha sera za startimes na TBC,lazima wanasikiliza sera za TBC ,ngoja waje ITV/STARTV na king'amuzi chao hizo ndio channel za ukweli tanzania
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Halafu wameuchuna tu hawatoi maelezo yoyote! Sijui ndio kutudharau sana?? TCRS Kimya!
   
 11. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yan mi kwangu dtv ipo lakini not subscribed na nimelipa 18000 huu ni usenge kweli coz inauma sana kuibiwa kifala.mwenye namba ya meneja wa startimes
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wachina waliopo nchi hii wengi wao ndio wamewatajirisha maofisa wa Uhamiaji, wana utajiri wa kutisha. Wanachokifanya hao wachina wa Startimes ni kurudisha pesa waliyowahonga maofisa wa Uhamiaji, wengine wanauza maua na kufanya umachinga pale Kariako, wenzao Kenya wameanza kupigwa mkwara waondoke kwao.
   
 13. j

  jiliml Senior Member

  #13
  Sep 19, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kooooo!
   
Loading...