Usanii wa ccm/kinana

Usanii wa ccm/kinana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412526072230.jpg
 
duh ni kweli - wajinga ndio waliowao!!
 
huyu jamaa ni bingwa wa usanii achana nae kabisa....!
 
Mmezoea maandamano na sio maendeleo.
Kinana chapa kazi komredi wangu.
 
Pia wamekuja na style ya kuilaumu serikali na watumishi wa umma ili waonekane wako upande wa wananchi

Ni wehu na upuuzi wa kiwango cha juu mno! Kilichopaswa kusemwa na upinzani ndio wao wanakisema ni kwasababu hawana jipya wanaustawisha upinzani bila fahamu
 
Mambo ya BABU Mwasapile muulize Mzee Ndesamburo ndiye aliyekuwa mratibu wa safari za kwenda kupata kikombe.
au serikali ya kikwete aliyoamuru barabara ya kwenda kwa babu itengenezwe. those days proved the so called government failure. people shifted their minds from electrical problems we were facing to loliondo, and the government helped so ili watu wasiulize-ulize kuhusu umeme na matatizo mengine; we call it 'populisim'. umenielewa hapo? maana watu wa namna kama yako wana 'nazi' koroma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom