Usanii na Uzandiki wa Zitto, Akili na Umakini wa Serikali ya Rais Magufuli

kibokomchapaji

Senior Member
Aug 18, 2017
165
307
Anaandika MWAMBA WA KASKAZINI

LEO nimejitokeza kuchangia ujuzi wangu kidogo katika zao la korosho lakini zaidi kuonesha fursaha yangu jinsi unafiki wa Mbunge wa Kigoma, Zitto Kabwe, unavyoendelea kudhihirika na kuanikwa na Serikali makini ya Awamu ya Tano baada ya leo kuanza kutapatapa akiropoka tu mitandaoni alipoona Serikali imetumia akili kubwa na uzalendo kulimaliza sakata la bei ya korosho nchini.

Zitto aliyekuwa akionekana kila siku kuchochea mgogoro huo akijifanya kuwapigania wakulima wa korosho wapate soko na bei nzuri, amezidi kufura na kutapatapa na kuonekana dhahiri ameumia baada ya kuona suala la soko na bei nzuri kwa wakulima limeshughulikiwa kwa utulivu mkubwa na Serikali makini na yenye uzalendo ya Rais Dkt. John Magufuli.

Akizungumza Ikulu Dar es Salaam, Rais Magufuli amesema, licha ya kujitokeza baadhi ya wanunuzi baada ya kupewa siku nne za mwisho, Serikali yake kupitia Benki ya Kilimo (TADB) imeamua kuwapatia soko zuri wakulima wa korosho nchini kwa kuzinunua korosho zao zote kwa bei ya shilingi 3,300 licha ya misukosuko ya zao hilo katika soko la dunia ambako bei zimeshuka na uzalishaji pia umepungua sehemu mbalimbali.

Wakati taarifa kutoka mikoa 9 inayolima korosho zikionesha kuwa mamia ya wakulima wamepokea kwa mikono miwili na furaha ununuzi huo wa Serikali utakaoanza kutekelezwa mara moja, wakisema hii ndio Serikali waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu, ghafla mtu aliyekuwa anajidai kuwatetea amenuna na kufura!!
Mnafiki Zitto Afura, Amwaga Matusi Mitandaoni

Katika kile kinachodhihirisha kuwa alikuwa akipigania “kiki” za kisiasa badala ya maslahi ya wakulima, nimeshangazwa kuona Zitto Kabwe ameripuka mitandaoni akimwaga kejeli na matusi kwa Serikali baada ya kuona mpango wake wa kiki na kukwamisha mambo umekutana na akili kubwa na yenye nia ya dhati ya Serikali ya Magufuli.

Akionekana kutapatapa zaidi, Zitto sasa anabeza hatua za Serikali mara anaruka kutoka korosho na kuhamia kwenye mahindi na kujadili mambo ambayo mengi hana utaalamu nayo wala kujua sababu za kisayansi za kufanya mabadiliko katika sekta hizo.

Mbunge huyu lakini anakumbukwa kwa siasa zake za aina hii; kutetea maslahi binafsi na kujifanya kuwa pamoja na wanyonge kumbe ni wakala wa mabepari (alipigania mkataba mbovu wa Buzwagi baadaye akafaidika na wamiliki wa Buzwagi na sasa kawa rasmi mtetezi wa Acacia).

Aidha Zitto sasa anaonekana kusahahu hata anapigania nini (kisaikolojia ikiwa ni dalili ya kuchoka kutumika lakini hana namna) pale alipoonekana awali akiwajulisha wakulima bei za korosho kushuka katika soko la dunia lakini ghafla akageuka na kuanza propaganda kuwa bei ndogo zimesababishwa na Serikali. Ameanzisha kaunafiki kapya sasa za kila kitu kutaka kuilaumu Serikali ya Magufuli.

Ushauri wangu kwa Mamlaka huyu ndio dili zake-kupayuka na kupiga kelele ili apewe dili kama alivyonufaika awamu za nyuma na kuwa milionea kwa kiwango hata cha kuanza kuwadharau na kutaka kuwahujumu Chadema wakati huo, Mbowe akamshutukia akamfix na kuwa na mapozi mengi hadi kukataa posho za Bunge (sijajua sasa kama bado hachukui posho). Lakini ninachoshauri ni awamu hii iendelee kumbana tu mnafiki huyu.

Wanatwitter Wamchoka, Wamparura

Hata hivyo katika kile tunachoweza kusema ni kuzidi kushuka, kupauka na kutoaminika kwa mwanasiasa huyu kijana, ni jinsi mamia ya watoa maoni katika akaunti yake walivyomjibu na kumcharura vibaya alipoanza tena kutumia kejeli kubeza Serikali kuongeza bei ya korosho hadi 3,300.

“Walalahoi wa Mtwara na Lindi walikuwa wauze korosho yao kwa buku mia saba (1,700) sasa watauza kwa buku tatu mia tatu (3,300), sasa umekosa pa kupigia kiki,” alisema msomaji mmoja na mwingine kuongeza:

“Wakati fulani inabidi kuweka ubinafsi kando kwa maslahi ya Taifa na walio wengi. Pole Zitto kwa kufanya uanajimu, sasa umejifunza somo.”

Mwingine akaongeza: “Unapoteza muda tu, tumeshakujua mipango yako na ya waliokutuma. Tunasimama pamoja na Rais wetu nyie mkafie mbali.” Mwingine kwa ukali kidogo akasisitiza:

“Pumbavu sana..Kwani Rais ndio anayelimisha mashamba?Kwani hayo mahindi kupanda bei mwaka jana ni sababu ya Rais na kushuka bei mwaka huu ni sababu ya Rais?Narudi tena pumbavu sana.”

Wasomaji wengi wameonekana kuridhishwa na hatua za Serikali katika zao ambalo nchi kubwa zinazoongoza kulinunua kama India na Vietnam kwa sasa wameamua kuwekeza katika viwanda na kilimo chao cha ndani. Rais Magufuli, na kinachoonekana kitazidi kumuuma Zitto na wapambe wake, pia ameagiza haraka uwekezaji katika viwanda vya kisasa vya ubanguaji wa korosho. Hii ndio Tanzania ijayo.

Zito Ni Kasuku Tu, Hajui Sayansi ya Korosho

Nchi nyingi za Afrika huuza korosho zao India, China na Vietnam, hata hivyo kwa sababu mbalimbali za hali ya hewa mwaka huu uzalishaji wa korosho si, Tanzania tu, katika nchi mbalimbali umeshuka huku pia baadhi ya benki kuogopa kutoa mikopo kwa wakulima (mfano wa India) hivyo kuathiri uzalishaji wa kati.

Utafiti wa kitaalamu nilioufanya unaonesha kuwa zao hili pamoja na mchango wake katika fedha za kigeni ni zao ambao hukumbumbwa na mtikisiko wa kupanda na kushuka katika nchi nyingi na si kama Kasuku Zitto Kabwe anavyotaka kulaghai watu hapa nchini akilaumu kila kitu kwa Serikali.

Jarida la HinduBusinessLine toleo la Machi mwaka huu limesheheni ukweli huu na sababu za kuanguka bei za korosho mwaka huu likitabiri mwishoni mwa mwaka zitaanza kupanda. Kuanguka huko kwa bei pia kuliathiri uzalishaji wa korosho ambapo ni benki chache huko India na Vietnam zilikuwa tayari kuwakopesha wakulima. Rejea Decline in global cashew prices affects processors

Pia wataalamu na watafiti wa zao hili wanasema ni zao ambao linaathiriwa na sababu mbalimbali kama masoko, hali ya hewa, wadudu na hivyo uzalishaji huongezeka na kupungua. Nitatumia tafiti za watafiti wa zao hili kusisitiza Zitto Kabwe ni Kasuku tu katika hili zao, ni mpigadili tu asiyejua anachopigania
Katika andiko liitwalo: “Cashew Nut Production in Tanzania: Constraints and Progress Through Integrated Crop Management,” mtandao wa ResearchGate unataja jinsi uzalishaji wa korosho ulivyoanguka sana Tanzania miaka ya 1980.

Hii ni kumuonesha Zitto kupungua na kupanda kwa uzalishaji wa korosho hapa nchini sio jambo la leo.
Nanukuu ripoti hiyo ikionesha jinsi uzalishaji ulivyopata kushuka nchini kutoka tani 145,000 hadi tani 16,500 miaka ya 1970 na 1980 ikisema:

“Following a steady increase in production from the middle of this century, there was a dramatic decline from 145,000 t in 1973 to 16,500 t in 1986. This was caused by a complex of socio-economic (low producer prices, inefficient marketing, villagisation) and biological factors (cashew powdery mildew disease, low tree yields, overcrowding of trees).”

Lakini wakati Zitto asiyeijua sekta hii anadandia dandia na kutaka kiki, tafiti zaidi zinaonesha kuwa uzalishaji wa korosho duniani hauwi na uwiano kila mwaka. Kuna wakati unapungua na kuna wakati unaongezeka kwa kasi au kidogo. Na kote huko yanakotokea mabadiliko na uzalishaji unapungua au kuongezeka kidogo si kwa sababu ya “Serikali ya Magufuli” kama Kasuku Zito anavyopambana kila mara kuonesha.
Katika utafiti uliofanyika nchini Gambia kupitia Vizara yao ya Viwanda uitwao “Global Cashew Market- A Snapshot Overview” kwa ujumla uzalishaji wa korosho umekua kwa asilimia ndogo sana duniani. Inasema: “Production According to industry sources, world production of in-shell cashew increased by 2% a year from 2.41 million tons in 2007 to 2.67 million tons in 2012 (Chart 6) (tazama ukurasa wa 16 wa ripoti hiyo.”

Zaidi hiyo inaonesha kuwa uzalishaji wa korosho katika nchi ya asili ya zao la korosho yaani Brazil (ambako wachuuzi wa Kireno walilianzisha zao hili miaka ya 1,500), kuanzia mwaka 2008 umekuwa ukipungua kila mwaka. Huku kote hakuna “Serikali ya Magufuli” ambayo Zitto anahaha kuichukia kila siku kwa sababu binafsi za kubanwa.

Ripoti inasema: “Brazil dominates the Latin American supplies of cashew. Despite significant investments in the sector and the availability of high yielding varieties, Brazilian production of in shell cashews is on a continuing downward trend since 2008 (uk. wa 17).”

Ripoti hiyo inaonesha zaidi kuwa kwa eneo lote la EAC uzalishaji wa korosho ulianguka kutoka jumla ya tani 54,000 hadi 46,000 kati ya mwaka 2011 na 2013 ambapo kwa Brazil na Vietnam uzalishaji uliongezeka lakini mwaka 2012 uzalishaji Brazil ulianguka kutoka tani 255,000 hadi tani 250,000. Magufuli hakuwa Rais wa Brazil wala eneo la EAC wakati uzalishaji huo unashuka.

Ripotio hiyo inatiliwa nguvu na utafiti mwingine wa taasisi inayojishughulisha na masuala ya kilimo cha korosho,AfricanCashewAlliance, uitwao “Cashews: Highlights of the Cashew Industry.” Kwanza awali kabisa ripoti inasema zao la korosho ni zao linalokumbwa na misukosuko mingi kuanzia uzalishaji, masoko hadi ubora wake (uk. 2).

Ripoti inaongeza kuonesha jinsi miaka ya nyuma uzalishaji ulivyokuwa usio na uwiano hata katika mataifa makubwa kama India. “In 2010 Middle Eastern markets (including Turkey) remained strong with Indian exports to the region down only slightly to 24.9 million kgs from 27.6 million kgs in 2009.”

Taarifa zaidi za utafiti wa masoko zinaonesha kuwa hata mataifa makubwa ambao ni wanunuzi lakini pia wazalishaji yamekuwa yakipata shida ya mauzo kupungua. Shida kama hii ilishaikumba India sana kutokana na sababu mbalimbali za kimasoko na ushindani.. Ripoti inasema (ukurasa wa 12):

“Indian cashew exports have been in decline since reaching a peak of 120.5 million kgs in 2004. Exports in 2010 were 95.2 million kgs, 21 percent below the peak year. Indian exports to the U.S. have fallen for six consecutive years from nearly 56.8 million kgs in 2004 to 26.5 million kgs in 2010, a 53 percent decline. Beyond competition from Vietnam, a principle cause of the decline in exports has been increased Indian domestic demand. Indian consumption of cashews as ingredients in confectionaries and various cuisines has been steadily rising along with per capita income. After ten consecutive years of increases, Indian exports to the Middle East (including Turkey) fell somewhat in 2010.”

Wenzetu kama alivyosisitiza Rais Magufuli pia sasa wanawekeza katika soko la ndani ambapo viwanda vinabangua na kuhakikisha bidhaa mbalimbali zinazotumia korosho zinazalishwa kama vile korosho zenyewe za kula, biskuti, mikati, jibini za korosho n.k. Huku ndiko Tanzania na dunia inakokwenda tofauti na Kasuku Zito na mchumi ambaye hajawahi kufanya kazi ya uchumi popote anavyohaha kupotosha.

Nawapongeza wananchi wa mikoa 9 mnaolima korosho kwa kupata Serikali sikivu, Serikali inayoendelea kuwapigania haki zenu. Niwaombe muwakatae wanasiasa wanaotaka kuyatumia vibaya matatizo yenu.

Na leo nimekuja tu kujitambulisha kuwa ni mimi ndugu yenu nitakayendelea kuwa nanyi (siwezi kuwaacha):

Mwamba (kwa sababu leo najitambulisha rudia mara 5) wa Kaskazini.

Ndugu yenu Mwamba wa Kaskazini
 
Kazi juu ya kazi.. kanyaga twende
 
Katika hii issue ya korosho mshindi ni Zitto Kabwe, rais ameshindwa kwa nock out kabisa, zitoo ndio alishauri serikali inunu korosho za wakulima tena mapema, serikali ikajitia kichwa ngumu, imekuja kuzinunua kibabe eti ionekane imeshinda, no way, Zito bado ni mshindi kwa kuwa rais amenunua kinyume na utaratibu wa kupeleka muswada bungeni, rais ni mbinafsi na mbabe amewachonganisha hata wabunge wa mtwara na lindi kuwa wao wameshindwa bali rais kaweza, hapa mtadanganya wachache. Kubwa mkulima katuliwa mzigo (kama kweli atalipwa cash).
 
Back
Top Bottom