Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Usanii mpya wajitokeza Tanzania

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Mimi nadhani MSANII huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida

Mtanzania wa Leo asiye lofa sidhani Kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi.

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa amekuja mbagala Au gogo la mboto ila Leo kaja , mwenye picha YAKE aiweke hapa .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akiwa katika Gari ambayo sio tinted Leo katembea na daladala . mpeni na jembe akalime pia basi .

Tangu nizaliwe sijawahi kumuona Mh Lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , Leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?

Kulikoni Leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake Masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala Kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na V8 Leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?

MTU amekuwa Waziri , tena Waziri wa offisi ya mazingira na kupambana Na umasikini chini ya makamu wa Rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye TV , kulikoni Leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa Waziri mkuu , Waziri wa MAJI aliwahi kuja? Kulikoni?

Mimi nadhani nadhani ana wadharau Sana tena Sana muulizeni alikuwa wapi?

Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili Mh Lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni Rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda.

Wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
Ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao Au ni wageni katika siasa Au mgombea wao ana Makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo .

Safari hii Tanzania imepata msanii Na Dr wa physician Na chemistry kufika October tutaona Mengi Sana
Eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa .

Ukiwa RAIA unaye jitambua na ukadanganywa na pipi Kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa .

Maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye Barabara wakati wa mvua Masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .Hana haja ya kufanya mbwembwe Kama hizo , daladala amepanda Mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini .

Alfu unasemaje Ni mkutano wa ghafla mna vipaza sauti navyo means Vya ghafla?

Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?

Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie .

Sisi sio malofa kataa kudanganyika.
 
WASANII NI CCM NA AHADI ZAO HEWA ZA KILA MWAKA, sasa wamekuwa wasanii zaidi kwa kuandaa FIESTA na kuwaalika wakata viuno. Teh Teh Teh ama kweli CCM hawana tena sera,sasa ni.matusi tuuuu na Mipasho mpaka kutoka kwa wazee wao.
 
Watanzania lazima tubadilike tuwe kama wenzetu wazungu kwani wao hugundua vipaji mapema sana tofauti na hapa kwetu.
Hapa kwetu si jambo la ajabu kukuta mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira akawa anahimizwa kusoma mambo tofauti kabisa huku kipaji chake kikiwekwa kando.
Baada ya utafiti wa muda mrefu mtakubaliana na mimi kwamba EL ni nguli wa sanaa ya maigizo na kunaumuhimu mkubwa kwa vikundi vya sanaa kulitizama hili hasa ndugu zangu wa Kaole.
Jamaa anabadilika kutokana na mazingira kiasi ambacho inashangaza hiki kipaji kuonekana kwenye utuuzima ilihali kipindi chote hicho alikua akifanya mambo tofauti kabisa.Umri si kigezo kwani mzee Ojuang wa Kenya alizeeka na kazi yake ya maigizo mpaka umauti ulipomfika.
Mtakubaliana na mimi wapo watu walishwahi kulia kwakutizama filamu kama za ki nigeria kutokana na umahiri wa waigizaji jinsi wanavyo fikisha ujumbe kwa hadhira.
Hili si jambo geni kwa EL ambae tunamshuhudia mara anakunywa maji ya viroba ambayo kimsingi anaigiza tu kwani akishaondoka tu pembeni ya kamera mwendo ni Kilimanjaro,Mara anapanda daladala,mara anaandaa vikundi hewa vije nyumbani kumshawishi awanie uraisi.Zote hizi ni harakati zakisanii kazini.
Lakini kutokana umahiri wake wa maigizo wapo watu wanaamini kabisa kwamba jamaa ndio mfumo wake wa kunywa maji ya viroba.
Watu wanaomuamini EL hawanatofauti na watu wanaolizwa kwakutizama filamu.
Jamani huyu jamaa hana kipaji cha uongozi ni muigizaji ni vema kaole wakachangamkia hiki kipaji kinapotea bure.
 
watanzania lazima tubadilike tuwe kama wenzetu wazungu kwani wao hugundua vipaji mapema sana tofauti na hapa kwetu.
Hapa kwetu si jambo la ajabu kukuta mtoto mwenye kipaji cha kucheza mpira akawa anahimizwa kusoma mambo tofauti kabisa huku kipaji chake kikiwekwa kando.
Baada ya utafiti wa muda mrefu mtakubaliana na mimi kwamba el ni nguli wa sanaa ya maigizo na kunaumuhimu mkubwa kwa vikundi vya sanaa kulitizama hili hasa ndugu zangu wa kaole.
Jamaa anabadilika kutokana na mazingira kiasi ambacho inashangaza hiki kipaji kuonekana kwenye utuuzima ilihali kipindi chote hicho alikua akifanya mambo tofauti kabisa.umri si kigezo kwani mzee ojuang wa kenya alizeeka na kazi yake ya maigizo mpaka umauti ulipomfika.
Mtakubaliana na mimi wapo watu walishwahi kulia kwakutizama filamu kama za ki nigeria kutokana na umahiri wa waigizaji jinsi wanavyo fikisha ujumbe kwa hadhira.
Hili si jambo geni kwa el ambae tunamshuhudia mara anakunywa maji ya viroba ambayo kimsingi anaigiza tu kwani akishaondoka tu pembeni ya kamera mwendo ni kilimanjaro,mara anapanda daladala,mara anaandaa vikundi hewa vije nyumbani kumshawishi awanie uraisi.zote hizi ni harakati zakisanii kazini.
Lakini kutokana umahiri wake wa maigizo wapo watu wanaamini kabisa kwamba jamaa ndio mfumo wake wa kunywa maji ya viroba.
Watu wanaomuamini el hawanatofauti na watu wanaolizwa kwakutizama filamu.
Jamani huyu jamaa hana kipaji cha uongozi ni muigizaji ni vema kaole wakachangamkia hiki kipaji kinapotea bure.

you have made my day brother, nimecheka mpaka!! Title umeipatia vzr mno, na content pia
 
ImageUploadedByJamiiForums1440536131.504653.jpg
 
Kaole wangeona kwanza ile performance KWENYE ILE FIESTA YA WAKATA VIUNO PALE JANGWANI.....teh teh teh fiesta ya wakata viuno na ya Matusi na Mipasho kutoka kwa wazee wa CCM. ama kweli CCM haina tena sera ya muhimu ya kumkomboa Mtanzania masikini.
 
Ratiba ya lowasa;
Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao
 
Kaole wangeona kwanza ile performance KWENYE ILE FIESTA YA WAKATA VIUNO PALE JANGWANI.....teh teh teh fiesta ya wakata viuno na ya Matusi na Mipasho kutoka kwa wazee wa CCM. ama kweli CCM haina tena sera ya muhimu ya kumkomboa Mtanzania masikini.

Ukiona povu linakutoka hii ni ishara kwamba umemuelewa vizur ndugu EL
 
WASANII NI CCM NA AHADI ZAO HEWA ZA KILA MWAKA, sasa wamekuwa wasanii zaidi kwa kuandaa FIESTA na kuwaalika wakata viuno. Teh Teh Teh ama kweli CCM hawana tena sera,sasa ni.matusi tuuuu na Mipasho mpaka kutoka kwa wazee wao.

Kama ni usanii ni ule waliobeba watu na malori,pamoja na kuweka wasanii kama kivutio lakini haikutosha wakaona wabebe watu kabisaaa!Halafu wanajichekesha kuwa nyomi yao balaa,aiseeeee!
 
Ratiba ya lowasa;
Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

Mtanyooka tu!
 
Tunasema ni usanii kwa sababu tujiulize,amekuwa kiongozi kwa muda zaidi ya miaka 20 alikuwa wapi siku zote kutembelea hao walalahoi anaodai, au wakati akiwa waziri mkuu shida hizo hazikuwepo,kama Mtanzania mzalendo unapaswa kutafakri hilo na si kufurahia hayo maigizo.
 
Nchi hii kipindupindu hakitoisha chini ya utawala wa CCM

Sasa na huyu anaejigongea maji ya viroba?wenzeke kina stive nyerere kwanza wangechemsha maji kwanza,then wangefunga kwenye kiroba tayari kwa maigizo,sasa yeye anakurupuka na maigizo ata preeee bure
 
mimi nadhani msanii huyu angaaenza na wamasaki wenzie kabla ya kuja kwa wananchi wa kawaida


mtanzania wa leo asiye lofa sidhani kama anaweza kudanganyika kwa bei kirahisi hivi

tangu nizaliwe sijawahi kumuona mh lowassa amekuja mbagala au gogo la mboto ila leo kaja , mwenye picha yake aiweke hapa
tangu nizaliwe sijawahi kumuona mh lowassa akiwa katika gari ambayo sio tinted leo katembea na daladala . Mpeni na jembe akalime pia basi
tangu nizaliwe sijawahi kumuona mh lowassa akipiga stories na watu wa kawaida , leo urafiki huu wa miezi miwili unatoka wapi?
Kulikoni leo? Kulikoni mtu mfalume aache kasiri lake masaki aje mbagala ? Kulikoni mtu anaye tembelea v8, karibia nusu ya mda tinao mjua sisi leo atembelee dalala kama sio maigizo na kuwadharau watembea kwa usafiri huu?
Kulikoni mtu tunaye mjua katika msafara wake ni wa ma vx na v8 leo ajitese hivi?
Kulikoni hasa?
Mtu amekuwa waziri , tena waziri wa offisi ya mazingira na kupambana na umasikini chini ya makamu wa rais hakuwahi kufika nadhani aliwahi kuwa anapaona kwenye tv , kulikoni leo ndo awe jamaa yetu ghafla hivi? Amekuwa waziri mkuu , waziri wa maji aliwahi kuja? Kulikoni?
Mimi nadhani nadhani ana wadharau sana tena sana muulizeni alikuwa wapi?
Kuna watu nawaona wana lia lia eti kwa nini tunamjadili mh lowassa , jamani hapa anaye tafutwa ni rais wa nchi yetu sote , hivyo ni haki na wajibu wa kila rai kiwajadili viongozi hawa na kwa wakati huu ni ajenda ,
wageni wa siasa mtuwie radhi kwa hili , nenda duniani kote nje ya ajenda ya ilani wagombea ni ajenda pia
ninacho weza kusema ukisikia wanao lia lia asijadiliwe mgombea wao au ni wageni katika siasa au mgombea wao ana makonda konda hawataki wananchi wayajua kwa mgongo huo
safari hii tanzania imepata msanii na dr wa physician na chemistry kufika october tutaona mengi sana
eti wa naenda kutafuta simpathy ya kuwa wameitw lofa
ukiwa raia unaye jitambua na ukadanganywa na pipi kama hizi ili utoe kura wewe ni lofa tu hata wazunguke dunia nzima ni lofa


maghufuli tuna lala nae kwenye madaraja, tunakesha nae kwenye barabara wakati wa mvua masikini, tunakula nae chakula cha mama ntilie .hana haja ya kufanya mbwembwe kama hizo , daladala amepanda mara kibao ili kushutukiza watendaji kazini
alfu unasemaje ni mkutano wa ghafla mna vipasa sauti navyo means vya ghafla?
Nakumbuka wapinzani ndio walioanza kuona usanii wa msee wa kuwa watu wa naenda kumshawishi mnakuta viti na vipaza sauti tiyari?
Leo naona wameamua kujiunga sasa kutengeneza movie
sisi sio malofa kataa kudanganyika

umeandika vizuri sana, nakiri umenishawishi kumpigia kura magufuli 25.10.2015, anafaa sio msanii, huyo mwingine aajiriwe kaole
 
Anatumia elimu yake aliyosoma chuo kwenye urais.
 
Back
Top Bottom