Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Serikali kuendelea kujenga madarasa tu na kuacha kuhakikisha walimu, madaktari na watumishi wengine wananyumba zao sio tija?
Ni ipi tija kuacha nchi ikihangaika kupitia mikopo na madeni ya kutupwa?
Ni ipi tija mikataba ya kinyonyaji ya gesi na madini ikitukamua au kutuacha tushangilie maigizo?
Rais wa Marekani wa 44, alipotembelea Ghana alisema" Africa do not need strong men, but it needs strong institutions.."
Kuchangia damu bure, ila ukienda kuongezewa damu unalipa, ndio yale ya ccm.