Usaliti wake chanzo cha kutomuoa

Usaliti wake chanzo cha kutomuoa

inauma sana unaposalitiwa na mpenzi mkiwa eneo moja na jioni mlikuwa wote.

Ndio yaliyonitokea kwa mrembo neema mwambao lake tanganyika.uamuzi wangu tofauti sana na wanaume wengi me nikiprove kwa data sirudii mtu.

Wewe vipi mdau

hapo kubali ametumiwa na kama unampenda endelea nae tu
 
ahahahaaaaa kibuti kibaya lazima uchanganyikiwe asa ndio umeandika nini eti
 
Kwani alikuambia anashida ya kuolewa na wewe. Alikujaribu tu wanaume bwana, Kwani unafikiri kuwa na wewe ndio nimeshajibinafsisha kwako. Eeee Miss chagga njoo huku wametuanza tena hawa. Wakati jana tulisema hatutaki kusemwa humu.

Maji hufuata mkondo u miongon mwa vicheche
 
Maji hufuata mkondo u miongon mwa vicheche[/QUOTE

Wee shika adabu yako wewe. Subiria matokeo ya form IV yatoke na utakuwa umepata division 5 wewe.

Una onyesha wazi huna malezi, kutukanaa hakukufanyi ukawa mtu unajishushia hadhi tu, kua na heshima, adabu unge anza kua nayo wewe.. Funika kombe mwanaharamu apite, Kama hata maana yake unaiju...
 
Back
Top Bottom