Siwez kujaribu kutoa uhai kisa mapenz hata siku moja wanaume wamejaa kibao ya nin nijitangulize kuzimu halaf hulka ya uchepukaji hua ndan ya nafsi ya mtu kwan.kuchepuka lazima??? Siwez shindana na mwanaume hata siku moja kisa kachepuka na mim nchepuke!!
hata anayejiua ukimuulza kabla ya kifo chake atakwambia hawez kujiua kwa sababu ya mapenz. Ni shetani tu anapita mara moja unatenda
Safi sana mamafacebook
hata anayejiua ukimuulza kabla ya kifo chake atakwambia hawez kujiua kwa sababu ya mapenz. Ni shetani tu anapita mara moja unatenda
Tukiacha na yule dada aliejipiga kisu cha Tumbo
Jamaa kaaamua kujinyonga kabisa kisa kasalitiwa na demu wake kweli Mapenzi noumer,
unajua mtu mpaka akifikie hatua ya kujiua ni kwamba ameona hana thamani kabisa duniani.
We unaona watu wanajiua ajili wameachana
na wapenzi wao, au wanajiua ajili ya mambo ya fedha,
Na wengine ajili ya kazi etc....
lakini hiyo ni hatua ya mwisho.
Huwa mtu anakuwa na ugonjwa unaoitwa "depression"
Hapa nyumbani watu hawauchukulii ugonjwa huu Seriously.
huu ndio ugonjwa unaowafanya watu wanafikia hatua ya kutoa uhai wao.
Tukiacha na yule dada aliejipiga kisu cha Tumbo
Jamaa kaaamua kujinyonga kabisa kisa kasalitiwa na demu wake kweli Mapenzi noumer,