Usaliti ni lazima kwa sasa

Usaliti ni lazima kwa sasa

Kivipi mkuu...wakati mimi mkono wangu ndio mke wangu....???

Unatakiwa kusubiri mpaka utakapooa, vinginevyo, wakati wa kuoa ukifika utamdanganya mkeo kuwa hujawahi fanya tendo la ndoa, kumbe ulishafanya sana tu, tena kwa kama ulivyosema kuwa mkono ndio mke wako na unatembea nao kila mahali, ina maana kuna uwezekano wa kuufanya kila wakati na mahali unapojisikia, ni afadhali anayechepuka kwa binadamu mwenzake maana kuna siku atakuwa kwenye per....od hivyo, watapumzika katika siku hizo, sasa wewe mkono hata period huendi kila siku unapata tu.
 
tukiwezeshwa tunaweza kutulia, wanawake wengi wakishaolewa wanabweteka mbinu za kupendwa wanaziacha baada ya kuvalishwa pete ya milele, wakizaa mapenzi yanaamia kwa watoto mpaka wattoto wote wao au waolewe mbaki peke yenu ndio anarudisha penzi la uzee
 
Nipo USALAMA MAGOMENI, naenda MBEZI, nafikiria kuchepuka, msaada kwa mwenye uzoefu!
 
kuchepuka kwa mwanaume ni lazima, kubadilisha menu lazima
 
Yakobo 1: 13 ''Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. 14 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.''

Hakika umenena iliyo kweli mkuu
 
Wanandoa wamesahau majukumu yao ya ndoa na hivyo kupelekea kuchokana haraka na kukimbilia michepuko! mfano mke kumpa papuchi mumewe kwa ratiba kwa mwezi mara mbili au tatu, siku zote amechoka, mara anasingizia kuumwa, mara kichwa kuuma, mara sijisikii, mara niache usinisumbue tulale.
Hapa mchepuko usiwepo ..??
 
tukiwezeshwa tunaweza kutulia, wanawake wengi wakishaolewa wanabweteka mbinu za kupendwa wanaziacha baada ya kuvalishwa pete ya milele, wakizaa mapenzi yanaamia kwa watoto mpaka wattoto wote wao au waolewe mbaki peke yenu ndio anarudisha penzi la uzee
kuna wanawake wanapendwa na waume zao na kufanyiwa kila kitu unfortunately wanachepuka
 
kuchepuka ni tabia ya mtu na wala hakuna chanzo chochote cha kusingizia...twafanya dhambi kwa akili zetu wenyewe mkuu

na hukumu i juu yetu
 
Ndugu wanaukumbi hasa hasa wanandoa napenda kuuliza hivi hatuwezi kutulia katika ndoa mpaka tuchepuke au tuseme tusaliti? Naomba mawazo kwa jinsia zote

Mimi naamini ukioa mtu unayempenda kwa dhati ukitaka kuchepuka dushe haitafanya kazi.
 
Back
Top Bottom