ndugu wanaukumbi hasa hasa wanandoa napenda kuuliza hivi hatuwezi kutulia katika ndoa mpaka tuchepuke au tuseme tusaliti? naomba mawazo kwa jinsia zote
jibu rahisi:tunaweza kutulia...
kwann mnachepuka
Uzoefu na maradhi?Kuchepuka kuna imarisha ndoa. Kwasababu kunaongeza uzoefu.
We subiri tu waje watamsingizia shetani wakati kumbe tamaa ziko ndani yetu tulitakiwa kuzitafutia mfuniko ili zisigusane na uovu maana Tamaa + Uovu = Mimba, Mimba ikikoma huzaa Dhambi, na Dhambi ikitunza huzaa mauti ndio yanayotutesa mpaka leo.
Ngoja niwe mtazamaji maana sisi watu wa PUNYETO haituhusu......
Hivi kile chama chenu bado kipo?? CHAPUTANgoja niwe mtazamaji maana sisi watu wa PUNYETO haituhusu......
Ndugu wanaukumbi hasa hasa wanandoa napenda kuuliza hivi hatuwezi kutulia katika ndoa mpaka tuchepuke au tuseme tusaliti? Naomba mawazo kwa jinsia zote
Hivi kile chama chenu bado kipo?? CHAPUTA
Hata chakula huli cha ainamoja siku zote
Usaliti uwe wa siri au dhahiri bado ni usaliti. Kitendo cha ndoa kufanyika kwa mwengine sio mwenza wako ni usaliti nafikiri ungefanya akajua huo si usaliti ni ujingaHivi mwakwetu, naomba kuuliza kitu, kama wewe ni nke wangu, mimi nachepuka lakini naendelea kukulea na kukutunza vizuri, bila kukudharau na kukuonyesha kama nachepuka, bado huo ni usaliti ?
Ha ha haaah hadi wanawake wameingia huko,,,,,,haya bhanaKipo mkuu....sasa hivi tumeongeza wanachama....tunasajili hadi wanawake...mkuu....
Huo ndio usaliti na uchepukaiji mkubwa, maana unajipendelea mwenyewe. Maana hapo chako kinabaki kuwa chako, ilihali chake ni chenu.