Usaliti ni laana mbaya sana, Mtikila Apotea kabisa kisiasa

Hatuwezi wote tukafanana kimtazamo, na ndio democracy inavyotaka siyo sawa kumwita msaliti eti tu kwasababu anapingana na mawazo yako.
 
baada ya kusaliti ule mpango wa ukombozi ulioletwa na MUNGU ( UKAWA ) ni kama amejichimbia kaburi na kujizika mwenyewe , cha kufurahisha ni kwamba walio ndani ya umoja huu wanang'ara na kuheshimiwa dunia nzima ! Hebu muangalie Mh Mbatia au hata Mh Makaidi , Hakika kwa sisi vijana kuna kitu cha kujifunza hapa , UMOJA NI NGUVU .

Leo kaonekana kanda ya ziwa. Kaona afuate dili zake za uchungaji.
 
Una uhakika kuwa bibi yako aliyeko kijiji cha Lokisale wilayani Monduli, anawafahamu hawa matapeli wa UKAWA?

Hilo sio la kuuliza kwani hata kwenu Nanjilinji kila mtu anafahamu UKAWA ni nini hata kama atakula pilau la CCM,
ImageUploadedByJamiiForums1424982671.256018.jpg
 
Mtoa mada kwanza samahani napata shaka na uwezo wako wa kufikili na utambuzi wa mambo ya kisiasa ya nchi hii ni nandika nikiwa mdau mkubwa wa cha DP kinachoongozwa na Mh Mtikila .kwanza ni kufundishe kwamba DP haijawahi kujitoa UKAWA na haitojitoa kamwe.DP itaendelea kuunga mkono UKAWA ambao Mh Mtikila ni mmoja wa wasisi wake .Nahapa ndio utaona tofauti ya UKAWA na vyama vinaunda UKAWA DP ni wadau wa UKAWA ule ulio halisi uliozaliwa kwa ajiri ya kupigania katiba na si UKAWA wa kusaka madaraka .DP itaendelea kushirikiana na wote walio asisi UKAWA ambao ni zaidi ya vyama vya siasa .UKAWA uliundwa na vyama vya siasa pamoja na AZAKI za kiraia huo ndio UKAWA naomba nieleweke UKAWA sio MADARAKA UKAWA ni mpango wa katiba mpya .
Hata huo UKAWA wa kusaka madaraka DP haikujitoa humo ila ilitengwa na vyama hivyo vya vinavyo saka madaraka kwa mgongo wa UKAWA .na kikubwa kilicho fanya DP kutengwa ni woga wa vyama hivyo kwa kuhofu kua wataisindikiza. hakuna binadamu yoyote mwenye akili timamau asiejua kua DP ndio chama pekee kilichokua kinapigania uwepo wa serikari huru ya taifa la tanganyika .na kwa akili ya kawaida kabisa unapo sema tuna taka serikali 3 maana yake unataka serikali ya tanganyika na hapo utakua unaiunga moja kwa moja DP na falsafa zake .Nahii ndio ilijenga hofu kwa wenzetu ya kutusindikiza kwa ajenda yetu waka amua kututenga KIMSINGI DP NDIO ILITENGWA NA HAIKUJITOA .mtoa mada nenda kwa viongozi wa chama chako kawaulize kwanini mliitenga DP halafu urudi hapa na hoja yenye kusimama.
TUNAJUA MENGI SANA YALIYO SABABISHA DP KUTENGWA KATIKA UMOJA HUO WAKATI UKIFIKA TUTASEMA
BY mdau wa DP
 
Nasubiri urudi na majibu ya viongozi wako mtoa mada ili nirudi kuufanyia oparesheni ukawa bila ganzi nimegundua wengi hamjui maana ya ukawa
 
mwanzoni mwa uundwaji na makubaliano ya kuwepo kwa muungano wa vyama vya Upinzani vilivyotoka BMK Mchungaji Mtikila alionekana kuwa sehemu ya Muungano huo: nashindwa kuelewa siku hizi hatajwi wala haonekani pamoja na viongozi wa vyama vilivyounda Umoja huo,

Wana Jamvi mnijuze yupo wapi Mchungaji Christopher Mtikila? je alijitoa UKAWA au IPOJE?
 
mwanzoni mwa uundwaji na makubaliano ya kuwepo kwa muungano wa vyama vya Upinzani vilivyotoka BMK Mchungaji Mtikila alionekana kuwa sehemu ya Muungano huo: nashindwa kuelewa siku hizi hatajwi wala haonekani pamoja na viongozi wa vyama vilivyounda UKAWA,

Wana Jamvi mnijuze yupo wapi Mchungaji Christopher Mtikila? je alijitoa UKAWA au IPOJE?

hajawahi kuwa ukawa
 
mwanzoni mwa uundwaji na makubaliano ya kuwepo kwa muungano wa vyama vya Upinzani vilivyotoka BMK Mchungaji Mtikila alionekana kuwa sehemu ya Muungano huo: nashindwa kuelewa siku hizi hatajwi wala haonekani pamoja na viongozi wa vyama vilivyounda Umoja huo,

Wana Jamvi mnijuze yupo wapi Mchungaji Christopher Mtikila? je alijitoa UKAWA au IPOJE?
Never had Mtikila membered UKAWA....he only pretended/showcased and immediately after went into oblivion.
 
chadema haiwezi kuungana na chama kisichokua na ruzuku, chadema iko ukawa kimaslahi zaidi
 
Back
Top Bottom