Usaliti ni laana mbaya sana, Mtikila Apotea kabisa kisiasa

chadema haiwezi kuungana na chama kisichokua na ruzuku, chadema iko ukawa kimaslahi zaidi

We nawe unatakiwa uwe ushafika kwa wale wangoni ukawahi kufanya mazingira yawe mazuri au unaogopa kulogwa unakuja kuhemea huku.
 
Mtoa mada kwanza samahani napata shaka na uwezo wako wa kufikili na utambuzi wa mambo ya kisiasa ya nchi hii ni nandika nikiwa mdau mkubwa wa cha DP kinachoongozwa na Mh Mtikila .kwanza ni kufundishe kwamba DP haijawahi kujitoa UKAWA na haitojitoa kamwe.DP itaendelea kuunga mkono UKAWA ambao Mh Mtikila ni mmoja wa wasisi wake .Nahapa ndio utaona tofauti ya UKAWA na vyama vinaunda UKAWA DP ni wadau wa UKAWA ule ulio halisi uliozaliwa kwa ajiri ya kupigania katiba na si UKAWA wa kusaka madaraka .DP itaendelea kushirikiana na wote walio asisi UKAWA ambao ni zaidi ya vyama vya siasa .UKAWA uliundwa na vyama vya siasa pamoja na AZAKI za kiraia huo ndio UKAWA naomba nieleweke UKAWA sio MADARAKA UKAWA ni mpango wa katiba mpya .
Hata huo UKAWA wa kusaka madaraka DP haikujitoa humo ila ilitengwa na vyama hivyo vya vinavyo saka madaraka kwa mgongo wa UKAWA .na kikubwa kilicho fanya DP kutengwa ni woga wa vyama hivyo kwa kuhofu kua wataisindikiza. hakuna binadamu yoyote mwenye akili timamau asiejua kua DP ndio chama pekee kilichokua kinapigania uwepo wa serikari huru ya taifa la tanganyika .na kwa akili ya kawaida kabisa unapo sema tuna taka serikali 3 maana yake unataka serikali ya tanganyika na hapo utakua unaiunga moja kwa moja DP na falsafa zake .Nahii ndio ilijenga hofu kwa wenzetu ya kutusindikiza kwa ajenda yetu waka amua kututenga KIMSINGI DP NDIO ILITENGWA NA HAIKUJITOA .mtoa mada nenda kwa viongozi wa chama chako kawaulize kwanini mliitenga DP halafu urudi hapa na hoja yenye kusimama.
TUNAJUA MENGI SANA YALIYO SABABISHA DP KUTENGWA KATIKA UMOJA HUO WAKATI UKIFIKA TUTASEMA
BY mdau wa DP
Mkuu abdul hakuna haja ya kumung'unya maneno weka kila unachokijua kuhusu mtikila kusaliti mpango wa Mungu , aliyoyafanya katika harakati zake za siasa yanafahamika .
 
Hivi kwa mchango wa Mtikila kwenye bunge la katiba bado ana itwa msaliti??? UKAWA mbona mna vijineno vya kusengenya sengenya kama wasagaji hamkosi kuwashwa mnataka kukunwa kila muda!
 
Hii thread imekaa kilokole zaidi, eti ukombozi wa MUNGU, yupi sasa, Allah or Jesus?

Hayo majina yataje kwa lugha yako utajua kuwa ni watu kama wewe na waliwahi kuishi hapa duniani lakini walikuwa tofauti na sifa za marehemu John Komba.
 
Makaidi katia mkono katika kapu la wajanja subiri usikie adhabu watakayompa, Mtikila aliusoma mchezo akaona waliomo ndani akaamua kukausha. We Prof. Safari alimkimbia Prof. Lipumba kwa kung'ang'ania madaraka CUF leo wako wote UKAWA. Subirini wakati wa kuchagua mgombea wa uraisi ndio mtajua wenye bendi nani na wacheza shoo ni kina nani.

Mtikila kaingia chaka, nina hakika Makaidi atanufaika.
 
Back
Top Bottom