Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,450
- 2,060
Hapana.....Atuletee hata Mihogo tu ya Kuchemsha, ili tutafunie....Vitafunwa unaleta au tuinywe kavu kavu?

Hapo nimeweka miaka ya 90 bila kueleza ni mwaka gani hasa mh jaji
Watanzania IQ za KUFIKIRIA ZIMEPUNGUA KWANI?Hapana.....Atuletee hata Mihogo tu ya Kuchemsha, ili tutafunie....
Kama wameanza kuishi pamoja miaka ya 90 kama alivyosema basi mtoto akapatikana 95 huyo mtoto ana miaka 27Nani anakitafunio hapo.
Mtoto amekua fasta kama ka broiler mpaka akaachiwa duka auze.
Oya mkuu umemaliza kila kitu💪🏾💪🏾💪🏾Chai iko wapi?
1. Baada ya kufunga ndoa na kuishi wote maisha ya shida chumba kimoja mwananyamala miaka ya 90
2. Jamaa akapata kazi kwenye mgahawa mmoja maeneo ya manazi mmoja kidogo akajenga nyumba kubwa ya vyumba 6 hajakaa sawa akajenga nyingine mara akanunua daladala akanunua na shamba kama heka 10 hadi mwaka 2010
Hapo mtoto ana miaka 20.👆👆👆👆
3. Jamaa akaleta ubishi mkewe akampa sharti moja tu kama anataka kumuoa huyo mwanamke basi yeye amfungulie duka tu jamaa si kiburi akamjengea fremu akamfungulia duka kubwa tu.
4. Yule mkewe alipoona mambo yamekuwa mazito akamuachia mwanae aendeshe duka mwanamke akaenda kwao Tanga aliporudi ndio Sekeseke likaanza sasa
Sasa nyie wadau mnaosema ni CHAI...
KWAMBA HUKO KWENU MTOTO WA MIAKA 20 HAWEZI KUACHIWA BIASHARA?
Hiyo chai iko wapi ?? 😳😳😳
Au huko kwenu vijana ni mandezi kwamba miaka 20 HAWEZI KUACHIWA duka mpaka wafike 30
Waambie vijana wenu waamke.
JUMAPILI NJEMA.
YESU NI BWANA.
#YNWA
MkuuHakuna chai hapo
Soma Comment #17
#YNWA
Ha ha ha...Nani anakitafunio hapo.
Mtoto amekua fasta kama ka broiler mpaka akaachiwa duka auze.
Ooh,Amesema miaka ya 90 huko hivo mtoto kwa Sasa ana miaka 20+ huenda inamantiki hii, siyo Kila kitu chai.
Ufafanuz murua kabisa,Chai iko wapi?
1. Baada ya kufunga ndoa na kuishi wote maisha ya shida chumba kimoja mwananyamala miaka ya 90
2. Jamaa akapata kazi kwenye mgahawa mmoja maeneo ya manazi mmoja kidogo akajenga nyumba kubwa ya vyumba 6 hajakaa sawa akajenga nyingine mara akanunua daladala akanunua na shamba kama heka 10 hadi mwaka 2010
Hapo mtoto ana miaka 20.
3. Jamaa akaleta ubishi mkewe akampa sharti moja tu kama anataka kumuoa huyo mwanamke basi yeye amfungulie duka tu jamaa si kiburi akamjengea fremu akamfungulia duka kubwa tu.
4. Yule mkewe alipoona mambo yamekuwa mazito akamuachia mwanae aendeshe duka mwanamke akaenda kwao Tanga aliporudi ndio Sekeseke likaanza sasa
Sasa nyie wadau mnaosema ni CHAI...
KWAMBA HUKO KWENU MTOTO WA MIAKA 20 HAWEZI KUACHIWA BIASHARA?
Hiyo chai iko wapi ??
Au huko kwenu vijana ni mandezi kwamba miaka 20 HAWEZI KUACHIWA duka mpaka wafike 30
Waambie vijana wenu waamke.
JUMAPILI NJEMA.
YESU NI BWANA.
#YNWA
Wakili msomi unazingua ujueeeTukirudi kwenye kielelezo D4, hiyo 92 tutaiona wapi, hebu muoneshe Jaji
Nani anakitafunio hapo.