Usaliti kwa Mkewe wamponza, akosa mchepuko na utajiri

Nani anakitafunio hapo.

Mtoto amekua fasta kama ka broiler mpaka akaachiwa duka auze.
Kama wameanza kuishi pamoja miaka ya 90 kama alivyosema basi mtoto akapatikana 95 huyo mtoto ana miaka 27
Kama alipatikana 2000 basi ana miaka 22
Siku zinakimbia bro
 
Chai iko wapi?

1. Baada ya kufunga ndoa na kuishi wote maisha ya shida chumba kimoja mwananyamala miaka ya 90

2. Jamaa akapata kazi kwenye mgahawa mmoja maeneo ya manazi mmoja kidogo akajenga nyumba kubwa ya vyumba 6 hajakaa sawa akajenga nyingine mara akanunua daladala akanunua na shamba kama heka 10 hadi mwaka 2010

Hapo mtoto ana miaka 20.👆👆👆👆

3. Jamaa akaleta ubishi mkewe akampa sharti moja tu kama anataka kumuoa huyo mwanamke basi yeye amfungulie duka tu jamaa si kiburi akamjengea fremu akamfungulia duka kubwa tu.

4. Yule mkewe alipoona mambo yamekuwa mazito akamuachia mwanae aendeshe duka mwanamke akaenda kwao Tanga aliporudi ndio Sekeseke likaanza sasa

Sasa nyie wadau mnaosema ni CHAI...

KWAMBA HUKO KWENU MTOTO WA MIAKA 20 HAWEZI KUACHIWA BIASHARA?

Hiyo chai iko wapi ?? 😳😳😳

Au huko kwenu vijana ni mandezi kwamba miaka 20 HAWEZI KUACHIWA duka mpaka wafike 30

Waambie vijana wenu waamke.

JUMAPILI NJEMA.
YESU NI BWANA.

#YNWA
Oya mkuu umemaliza kila kitu💪🏾💪🏾💪🏾
 
Chai iko wapi?

1. Baada ya kufunga ndoa na kuishi wote maisha ya shida chumba kimoja mwananyamala miaka ya 90

2. Jamaa akapata kazi kwenye mgahawa mmoja maeneo ya manazi mmoja kidogo akajenga nyumba kubwa ya vyumba 6 hajakaa sawa akajenga nyingine mara akanunua daladala akanunua na shamba kama heka 10 hadi mwaka 2010

Hapo mtoto ana miaka 20.

3. Jamaa akaleta ubishi mkewe akampa sharti moja tu kama anataka kumuoa huyo mwanamke basi yeye amfungulie duka tu jamaa si kiburi akamjengea fremu akamfungulia duka kubwa tu.

4. Yule mkewe alipoona mambo yamekuwa mazito akamuachia mwanae aendeshe duka mwanamke akaenda kwao Tanga aliporudi ndio Sekeseke likaanza sasa

Sasa nyie wadau mnaosema ni CHAI...

KWAMBA HUKO KWENU MTOTO WA MIAKA 20 HAWEZI KUACHIWA BIASHARA?

Hiyo chai iko wapi ??

Au huko kwenu vijana ni mandezi kwamba miaka 20 HAWEZI KUACHIWA duka mpaka wafike 30

Waambie vijana wenu waamke.

JUMAPILI NJEMA.
YESU NI BWANA.

#YNWA
Ufafanuz murua kabisa,
 
watu wa pwani sijui mtaacha lini imani za kishirikina? zingekuwa zinawasaidia si mngekuwa mnaendesha hii nchi. msingekaa vibarazani mkipiga miayo.
 
Back
Top Bottom