Kwakuwa utakuwa umeshazaa naye watoto si vema kumurudisha makwao. Jitahidi kufanya kama alivyokufanyia. Kuanzia ulipogundua anza kutembea na kila mwanamke anayekuvutia hata kama ni dada yake, mamake, shangazi yake, wifi yake au rafiki yake na kama ana kaka shoga wee twanga tuuuu akikuuliza kulikoni mwambia ulianza wewe mimi namalizia.
mleta mada amesema USALITI KTK NDOA...!
sasa naona mnaanza kuegemea kwa wanawake tu...!
usaliti ktk ndoa unavyanzo vingi...! lazma ziangaliwe sababu ktk pande zote...!
Mfano:-
kuna ndoa ya kaka mmoja imefika mahal ni shida, ME yuko bize kiasi aliwahi safir mtoto wake ametoka kuzaliwa baada ya wiki mbili tu akasafir ( tanzania hapahapa, yaan alikuwa anbadilisha mikoa tu) alirud mtoto anatembea (mwaka na miez mitatu) kakaa wiki mbili kasepa.
kwa hali hiyo ukisalitiwa utamlaumu nani?
Bora Wewe Ila Mimi Sina Hata Mpango Wa Kuoa. Dada Zetu Wa Leo Ni Pasua Vichwa!
Mi mwenyewe ni msaliti mzuri tu wa ndoa yangu lakini sijawahi kukamatikwa, sasa sijui nikikamatikwa itakuwaje? Na ninafanya hivyo makusudi ili niachane na huyu mume niliyenae maana kila wakati namwambia tuachane hataki.

Me staki hata kuchangia...naona ntaharibu...ila wallahy kuna ndoa nkiziangalia nakosa ham ya kuoa
Kwakuwa utakuwa umeshazaa naye watoto si vema kumurudisha makwao. Jitahidi kufanya kama alivyokufanyia. Kuanzia ulipogundua anza kutembea na kila mwanamke anayekuvutia hata kama ni dada yake, mamake, shangazi yake, wifi yake au rafiki yake na kama ana kaka shoga wee twanga tuuuu akikuuliza kulikoni mwambia ulianza wewe mimi namalizia.
Mi mwenyewe ni msaliti mzuri tu wa ndoa yangu lakini sijawahi kukamatikwa, sasa sijui nikikamatikwa itakuwaje? Na ninafanya hivyo makusudi ili niachane na huyu mume niliyenae maana kila wakati namwambia tuachane hataki.
Kaaaaaz kwel kwel!!
"Mke hata achwa ila kwa zinaa" - Bible
Usipomwacha utakuwa unatenda dhambi!
"Mke hata achwa ila kwa zinaa" - Bible
Usipomwacha utakuwa unatenda dhambi!
mkuu hapa lazima utazawadiwa nishani ya Ukimwi...Kwakuwa utakuwa umeshazaa naye watoto si vema kumurudisha makwao. Jitahidi kufanya kama alivyokufanyia. Kuanzia ulipogundua anza kutembea na kila mwanamke anayekuvutia hata kama ni dada yake, mamake, shangazi yake, wifi yake au rafiki yake na kama ana kaka shoga wee twanga tuuuu akikuuliza kulikoni mwambia ulianza wewe mimi namalizia.
kwani lazima muachane kwa ubaya!!, wewe kama umemchoka si usepe tu!, maana siku akikufumania anaweza akuchome moto nyeti zako au ukasababisha mchepuko wako akaliwa tigo halafu uanze kulalamika oooh nimenyanyaswa kijinsia, dah wanawake mnakuaga na roho nzito nyie!!Mi mwenyewe ni msaliti mzuri tu wa ndoa yangu lakini sijawahi kukamatikwa, sasa sijui nikikamatikwa itakuwaje? Na ninafanya hivyo makusudi ili niachane na huyu mume niliyenae maana kila wakati namwambia tuachane hataki.
Na mie umenifanya nimsikilize Bella