Foreverfreed
Member
- Aug 20, 2019
- 65
- 108
Lissu amekuwa mwiba kwa uongozi ni kweli kuna changamoto kubwa kuhusu usalama wake atakaporejea, kwanza shamrashamra za kumpokea zitazuiliwa, pili kuna uwezekano mkubwa akakamatwa na kuwekwa ndani na tatu yawezekana yakamkuta makubwa zaidi ambayo wavamizi wake waliyakusudia.Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.
Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.
Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
mkuu kwa sasa lissu n next level anawatega tu huyu jamaa kwa sasa ni next level ukimgusa tu umekwisha na ndo maana bila kukupesa macho lisu afikapo vyombo vya ulinzi wamwongezee ulinzi wa kutosha kuakikisha hakuna inzi wa kumsogelea na nadhani hata wao ilo wanalitambua maana kumgusa nikutafutia taifa majanga.Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.
Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.
Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
Ikitokea walioshinda tenda wakatoka nje ya Afrika hawatarhusiwa,Polisi wetu Kama kawaida yao watasema wanao uwezo wa kumlinda,Kama walivyosema wanao uwezo wa kuchunguza wasiojuliana.
Kisha hawata mlinda na kuwaacha wasiojulikana wamdhuru Tena.
[/QUOTEulinzi
Ni kampuni mahususi za ulinzi za humu nchini.Ikitokea walioshinda tenda wakatoka nje ya Afrika hawatarhusiwa,Polisi wetu Kama kawaida yao watasema wanao uwezo wa kumlinda,Kama walivyosema wanao uwezo wa kuchunguza wasiojuliana.
Kisha hawata mlinda na kuwaacha wasiojulikana wamdhuru Tena.
Lisu kuja nchini,akikosa nafasi CDM kutimkia ccm Kama slaa,usiwe na hofu,mkakati upo hivo,na atakuwa bega kwa bega ktk kampeni .Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.
Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.
Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
Nje ya madaLisu kuja nchini,akikosa nafasi CDM kutimkia ccm Kama slaa,usiwe na hofu,mkakati upo hivo,na atakuwa bega kwa bega ktk kampeni .
Si hao hao watalipwa hela wammalize?Ni kampuni mahususi za ulinzi za humu nchini.
Makamu mwenyekiti wa Chadema umesahau au unajitekenyaLisu ni raia wa kawaida tu hapaswi kupewa ulinzi ,wa kazi gani
Kwa akili za hapa bongo sidhani kama wanan uwezo wa kung'amua hili.mkuu kwa sasa lissu n next level anawatega tu huyu jamaa kwa sasa ni next level ukimgusa tu umekwisha na ndo maana bila kukupesa macho lisu afikapo vyombo vya ulinzi wamwongezee ulinzi wa kutosha kuakikisha hakuna inzi wa kumsogelea na nadhani hata wao ilo wanalitambua maana kumgusa nikutafutia taifa majanga.
Post ya SAA 11 wachangiaji 13Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.
Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.
Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
Hujuma yoyote dhidi ya mwamba LISSU itajibiwa haraka sana mara 10 zaidi! Tutawaonyesha watawala na vibaraka wao chenye we are capable of doingLissu amekuwa mwiba kwa uongozi ni kweli kuna changamoto kubwa kuhusu usalama wake atakaporejea, kwanza shamrashamra za kumpokea zitazuiliwa, pili kuna uwezekano mkubwa akakamatwa na kuwekwa ndani na tatu yawezekana yakamkuta makubwa zaidi ambayo wavamizi wake waliyakusudia.
Nijiavyo uongozi huu utafanya moja kati ya hayo, ila kwavyovyote; Lissu atainua hisia kubwa na huruma (sympathy) kutoka kwa wananchi wengi na hilo litakuwa pigo la kisiasa kwa uongozi. Kwa kifupi Lissu ni tishio kwa jiwe na ni mtaji kwa CDM.
Ni mgombea urais, ni mtu mkubwa sana hata kama humpendi!Lisu ni raia wa kawaida tu hapaswi kupewa ulinzi ,wa kazi gani