and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
Daraja la mto Wami pamoja na umuhimu wake katika sekta nzima ya usafiri hususani kuunganisha nchi ya Tanzania na mikoa ya kaskazini na nchi jirani za Kenya, Uganda, Somalia, Sudan kusini n.k. Hofu yangu kuu ni wembamba wake/daraja (inayopelekea kusubiriana). Kwa nini kusiongezwe upana na uimara kama daraja la MKAPA kuepusha majanga yanayoepukika?
**UPDATE**
Ujenzi wa njia/daraja jipya unaendelea. Tunapongeza kwa jitihada hizi
**UPDATE**
Ujenzi wa njia/daraja jipya unaendelea. Tunapongeza kwa jitihada hizi