Usajili wa Simba Sport Club Kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

Sawa Nimekuelewa na Pole sana.

Hata hivyo. Nimeeleza ukweli kwamba Bocco ni hard working but he is not really competent. Ni mchezaji ambaye, of course he can assist lakini hana uwezo wa kumu attack kipa.

Hivyo kwa mechi za ndani John ni mzuri sana but kwa International games anahitaji kuwa na mtu ambaye really competent atakayekuwa anasaidiana nae while he keeps learning.

Aidha, imezoeleka kwamba, Mpira na Muziki kwa TZ ni wale ambao ni failure mashuleni ndiyo hujiingiza huko, hii imewaathiri sana wachezaji wetu na kushindwa kufanya jitihada wakiamini kwamba mpira ni mchezo mchezo tu.

Mbwana Sammata anaonekana ni mchezaji mzuri just because akiwa kwenye 18, ni katika mazingira magumu sana kipa kubaki salama, hii ni determination kubwa sana wachezaji wetu wanaikosa.

John still has time to learn, he needs to accept his weakness, that is all it is.

Tatizo la sisi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli,bocco si mchezaji wa kiwango wanachokiongelea,ndio maana mpaka sasa hakuna team iliyovutiwa nae,tofauti na kagere ambae team zaidi ya mbili zinamtaka,mfano away match dhidi ya mazembe hakuwa na madhara yoyote kwa mabeki kabisa,jamaa kasaidia sana ila si mchezaji wa kutegemea kama simba inataka kuwa level za mazembe,tunahitaji wapambaji kama kagere watatu katika nafasi tatu anatumia mbili tofauti na bocco nafasi kumi ataumia moja ,thats my opinion

Sent from my iPad using JamiiForums
 
mkuu umechambua vizuri lkn kuna ka bias umekasema ..unasema wachezaji kama chama, kagere, na niyonzima na ukasema unaangalia wanachezeshwa na nani ? ukasema wanachezeshwa na mtu kama bocco anakiwango dhaifu... HAPANA mkuu Bocco hana kiwango Dhaifu kbs.. angalia ana assist ngapi ktk klabu yake tena ktk mechi muhimu za kimataifa ...tazama assist zake mbili ktk mechi na uganda za kufuzu..mi maoni ni kwamba Bocco anavyo chezeshwa simba analazimika kutumia nguvu nyingi ndio maana anawahi kuchoka ..lkn kama Bocco angekuwa anachezeshwa kama lonely striker akizungukwa na mawinga wazuri atleast ..ndugu yule jamaa anakipaji.... Na kumbuka yy ndio anaongoza kwa magoli ktk ligi ya bongo ..Mpe mtu heshima yake
 
Yeah ni Mzuri kwa Mechi za ligi.

Nimesema hivyo kaka. Ni kweli pia anajitahidi kwenye ku assist but he is not good enough to handle international games.

International games haziitaji makosa ya kizembe zembe kwasababu ni game zenye kasi, nguvu, akili na ushindani wa juu.

Hivyo Bocco abaki kuwa mchezaji wa ligi while he keeps learning kwenye international games.
 
Simba kwenye ligi ya ndani kwakua Timu ilikua inaenda moja klabu bingwa wanatumia falsafa Kama ya Bayern kuziharibu Timu zengine ili kuendelee kutawala...ila tukianza kupeleka Timu mbili klabu bingwa tutaacha kuchukua wachezaji wakawaida ambao kimsingi hawatumiki hata katika mashindano ya kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAMIA FC. . Wamejitahidi kuizika Azam na Bashite katumika kuimaliza Yanga... ila Zahera akipewa fungu la maana maji mtaita mma
 
Njia Pekee ya Simba Kuongeza Mtaji ni Kuongeza Vyanzo vya Mapato Ikiwa ni Pamoja na Timu Kuunda Kamati ya Akili Kubwa Ambayo Itakuwa Inaleta Mapendekezo ni Namna Gani Klabu Inapaswa Kufanya Ili Kuongeza Pesa. Sasa Hili ni Eneo Ambalo I Trust Mo is Good in This Area.

Kwa Mfano,

Klabu ya Simba inawashabiki Zaidi ya 60K, wakitengeneza Jezi zenye Ubora na kutafuta njia ya ku Control Copying, yaani wahakikishe mashabiki wote wananunua kwenye ofisi husika tu, what do you think about that?

2. Klabu inaweza kufungua maduka ya nguo za michezo zenye ubora na wakawa honesty na kile wanachokitangaza, what do you think about that?

3. Timu ikiwa na Mabasi yake ya kubeba Abiria kwa mfano, Dar -Moro, Moshi Singida, Moshi Arusha etc etc. Na magari yakiwa na ubora na kisasa, what do you think about that?

4. Klabu ikiwa na restaurant zake kwenye Miji Mikubwa Mikubwa kama Dar, Mwanza Arusha na Zanzibar , ambazo ni restaurant za kisasa, watahudumia
Mashabiki wa SSC na watanzania wote, what do you think about that?

5. Klabu ikiamua kuweka boti 2 za Kwenda Unguja Dar, kwanza watarahisisha usafiri kwa wananchi wanaotumia Usafiri wa maji lakini pia watapata fedha mingi mingi, what do you think about that !?

A lot brother, I can fill the whole page. Those are the simple things Klabu inaweza kufanya, and they will rescripting the history of Football in TZ.
We jamaa nakuombea nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya Boss Mo Dewj
 
Sawa Nimekuelewa na Pole sana.

Hata hivyo. Nimeeleza ukweli kwamba Bocco ni hard working but he is not really competent. Ni mchezaji ambaye, of course he can assist lakini hana uwezo wa kumu attack kipa.

Hivyo kwa mechi za ndani John ni mzuri sana but kwa International games anahitaji kuwa na mtu ambaye really competent atakayekuwa anasaidiana nae while he keeps learning.

Aidha, imezoeleka kwamba, Mpira na Muziki kwa TZ ni wale ambao ni failure mashuleni ndiyo hujiingiza huko, hii imewaathiri sana wachezaji wetu na kushindwa kufanya jitihada wakiamini kwamba mpira ni mchezo mchezo tu.

Mbwana Sammata anaonekana ni mchezaji mzuri just because akiwa kwenye 18, ni katika mazingira magumu sana kipa kubaki salama, hii ni determination kubwa sana wachezaji wetu wanaikosa.

John still has time to learn, he needs to accept his weakness, that is all it is.
Mkuu unajua mpira,, Bocco sio wa level ya international games, madalali wanampiga sana Mo,,angalia beki kama zana hana kitu cha tofauti cha ziada kumtofautisha na wazawa
 
Tatizo la sisi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli,bocco si mchezaji wa kiwango wanachokiongelea,ndio maana mpaka sasa hakuna team iliyovutiwa nae,tofauti na kagere ambae team zaidi ya mbili zinamtaka,mfano away match dhidi ya mazembe hakuwa na madhara yoyote kwa mabeki kabisa,jamaa kasaidia sana ila si mchezaji wa kutegemea kama simba inataka kuwa level za mazembe,tunahitaji wapambaji kama kagere watatu katika nafasi tatu anatumia mbili tofauti na bocco nafasi kumi ataumia moja ,thats my opinion

Sent from my iPad using JamiiForums
Kama kocha atakuwa unamuanzisha Bocco Afcon basi hatutafika popote,, Bocco sio wa level wanazomuweka, his not competent enough,, hana skills,, kuna muda inabidi tuambiane ukweli
 
kocha ujamzungumzia..vp anafaa kwa game za kimataifa,,?
Pamoja na kutolewa kwenye michuano ya Club Bingwa Africa, wa TZ wote tunapaswa kuipongeza The Msimbazi Reds katika jitahada za dhati walizoonesha kwenye michuano hiyo. Aidha, Pongezi za dhati ziende kwa Muhammad Dewji kwa kuleta mabadiliko yenye tija kwa kipindi kifupi sana alichochukua timu.

Kitu pekee ambacho wa TZ tumeshindwa kuelewa ni kwamba Mpira ni KAZI, kama kazi nyingine. Mziki ni KAZI kama kazi nyingine.

Kama mnakumbuka vizuri Kocha wa Tout Puisant alisema pale Taifa ya kwamba,

“Sisi kwetu mpira ni kazi, hapana mchezo mchezo na tumekuja kuifundisha SSC nidhamu ya mpira”

1. Mchezaji Medie Kagere analipwa Mil 15 kwa mwezi, na tayari Js Soura ya Al jazairi( Algérie ) wameshaonesha matamanio ya kumchukua.

2. Immanuel Okwi analipwa kati ya 12mil au 13 mil kwa mwezi. Imagine that. It’s a lot of money my friend kwa TZ!

Tayari wachezaji kama 4 kutoka SSC aliwemo Manula wameshatamaniwa na Klabu mbali mbali ikiwemo AS Vita, Les Armés!

Mchezaji Jean Marc Makusu Mundele wa As Vita ambaye ameuzwa Morocco atakuwa analipwa Mil 80 kwa mwezi, As Vita walikuwa wakimlipa Mil 30 kwa mwezi.

SSC walikuwa wanamnyemelea huyu jamaa lakini mambo ya msingi aliyauliza yeye mwenyewe kwa kujadili na Kocha wake

1. Je The Msimbazi Reds wataweza kunilipa zaidi ya Mil 30 kwa mwezi plus na pesa ya kuvunja mkataba ambayo ilikuwa inakaribia kufika 1 bil?

2. Kama namba 1 ni Yes, je naenda kucheza na nani huko ? Alitaka kujua plan ya Simba ya kuchukua baadhi ya wachezaji wenye Level kama yake ambao watakuwa kwenye Klabu.

Mchezaji kama Chama, Medie, Niyonzima hawa ni wachezaji wazuri sana, lakini je wachezeshwa na nani? Wanachezashwa na Level ya Bocco, hivyo nawao inabidi washushe kiwango chao ili waendane na Bocco na hii ndiyo changamoto kubwa hasa zikija International games.

Mo aliweka bayana kuwa katika usajili ujao, kutakuwa na a lot of changes ikiwa ni pamoja na kuwaaacha baadhi ya wachezaji kwenye usajili mpya.

Hivyo,

1. Usajili wa SSC uangalie Requirements( Mahitaji) ya timu. Kama timu inahitaji kucheza nusu fainali ya Club Bingwa Africa, isajili wachezaji ambao watakuwa na uwezo wa kuifikisha timu huko. Wachezaji ambao wanachukulia mpira kama KAZI, sio kina Mkude wanaoenda kulewa lewa mapombe, mazoezini hawatokei. Hawa ni Makapi. Ban Them!

2. Kuepuka Madalali, Mo anatakiwa kusimamia usajili yeye mwenyewe kwa kushirikiana na kamati maalumu. Game alizocheza mchezaji na uwezo wake akiwa uwanjani, na nidhamu pia. Sio kumuokota mtu huko Ivory Coast halafu majaribio yake ni kupiga danadana, ni Ukichaa, wacheni hiyo kitu.

3. Kuacha usajili wa kukomoana kati ya SSC na Vyura, kwa wachezaji wa ndani, Mchezaji asajiliwe kutokana na uwezo wake, mpira ni business, it’s time now to be serious.

4. Defence na Midfield ni changamoto kwa SSC, honestly. Kwa yakini kwa mwaka huu, Tout Puisant Mazembe hawana kikosi kizuri na trust me, hawatofika mbali, hawatoweza kuchukua kombe mwaka huu.

Wametufungwa kwa ubovu wa defence na midfield. Na kama robo fainali ingekuwa kati Mazembe Vs As Vita, kuna asilimia zaidi ya 60 kuwa Mazembe angetoka.

Usajili wa Simba uangalie sana hili eneo ikiwa ni pamoja Na kuwaweka wachezaji wenye level zinazokaribiana wakishirikiana na hawa wa nyumbani level za kina Bocco.

5. Kama kuna mtu aliangalia gemu ya Al ahly na Mamelodi, waarabu walifikia hatua wanataka kurusha ngumi. Kila wakifika kwenye defence za mamelodi, hakupitiki.it was very tough game, wachezaji wa mamelodi wamekaa Muda mrefu na wamezoeana.

Simba iangalie uwezekano wa kuwasajili wachezaji kwa mikataba mirefu ili wachezaji wakae pamoja kwa muda na kuleta tija kwenye kikosi.

6. Training.
Wachezaji wa SSC wanakosa spirit kwenye game za ugenini. Kuwe na training ambayo itatoa mafunzo ya nidhamu, kuheshimu kazi, Spirit ya ku fight kwenye game, kujiamini na jinsi gani ya ku behave kimataifa. Hii ni kitu muhimu sana kwa sababu wachezaji wetu wengi hawana EXPOSURE na MENTAL STRENGH.

Thank You!

———————————
Jumatatu 15, Aprili 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umechambua vizuri lkn kuna ka bias umekasema ..unasema wachezaji kama chama, kagere, na niyonzima na ukasema unaangalia wanachezeshwa na nani ? ukasema wanachezeshwa na mtu kama bocco anakiwango dhaifu... HAPANA mkuu Bocco hana kiwango Dhaifu kbs.. angalia ana assist ngapi ktk klabu yake tena ktk mechi muhimu za kimataifa ...tazama assist zake mbili ktk mechi na uganda za kufuzu..mi maoni ni kwamba Bocco anavyo chezeshwa simba analazimika kutumia nguvu nyingi ndio maana anawahi kuchoka ..lkn kama Bocco angekuwa anachezeshwa kama lonely striker akizungukwa na mawinga wazuri atleast ..ndugu yule jamaa anakipaji.... Na kumbuka yy ndio anaongoza kwa magoli ktk ligi ya bongo ..Mpe mtu heshima yake
Kipaji kipi unachokiongelea wewe,, kuna wachezaji wa aina mbili, kuna talented na mpira Tizi, Bocco ni mpira Tizi,, kipaji unakijua wewee au unasema tuu,, ni timu Gani umesikia inamnataka kwenye michuano ya klabu bingwa,?? Angalia na fikiria namna ya kutumia hili neno kipaji kwa umakini
 
Back
Top Bottom