Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 4,838
- 8,664
simba hawana mpira, mechi za nyumban wameshinda ki bahati tu we washauri wazidi kuwekeza kwenye uchawi ndio uliowasaidia
Kwa kukosa penalty?Umejaribu kutoa mchango mzuri ila kumuattack Bocco kwa dizaini hiyo nimkuvunjia heshima mchezaji aliejitoa kinaga ubaga kupigania timu na nchi yake.
Kwa taarifa yako Bocco ndie mchezaji aliepafomu kwa kiwango kikubwa sana mechi na Mazembe away ukimuondoa Manula. Sivyema kumtolea mifano ya aina hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini akienda alliance school ataozea benchBocco is the best player in our ligi
God first
Wew Nani kakudanganya baryen wanashiki peke yao ligi ya mabingwa hadi uwafananishe na Simba?Simba kwenye ligi ya ndani kwakua Timu ilikua inaenda moja klabu bingwa wanatumia falsafa Kama ya Bayern kuziharibu Timu zengine ili kuendelee kutawala...ila tukianza kupeleka Timu mbili klabu bingwa tutaacha kuchukua wachezaji wakawaida ambao kimsingi hawatumiki hata katika mashindano ya kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zana hafiki ata Kwa allyshamte terminator wa lipuliMkuu unajua mpira,, Bocco sio wa level ya international games, madalali wanampiga sana Mo,,angalia beki kama zana hana kitu cha tofauti cha ziada kumtofautisha na wazawa
Hate will take you nowhere broosimba hawana mpira, mechi za nyumban wameshinda ki bahati tu we washauri wazidi kuwekeza kwenye uchawi ndio uliowasaidia
Njia Pekee ya Simba Kuongeza Mtaji ni Kuongeza Vyanzo vya Mapato Ikiwa ni Pamoja na Timu Kuunda Kamati ya Akili Kubwa Ambayo Itakuwa Inaleta Mapendekezo ni Namna Gani Klabu Inapaswa Kufanya Ili Kuongeza Pesa. Sasa Hili ni Eneo Ambalo I Trust Mo is Good in This Area.
Kwa Mfano,
Klabu ya Simba inawashabiki Zaidi ya 60K, wakitengeneza Jezi zenye Ubora na kutafuta njia ya ku Control Copying, yaani wahakikishe mashabiki wote wananunua kwenye ofisi husika tu, what do you think about that?
2. Klabu inaweza kufungua maduka ya nguo za michezo zenye ubora na wakawa honesty na kile wanachokitangaza, what do you think about that?
3. Timu ikiwa na Mabasi yake ya kubeba Abiria kwa mfano, Dar -Moro, Moshi Singida, Moshi Arusha etc etc. Na magari yakiwa na ubora na kisasa, what do you think about that?
4. Klabu ikiwa na restaurant zake kwenye Miji Mikubwa Mikubwa kama Dar, Mwanza Arusha na Zanzibar , ambazo ni restaurant za kisasa, watahudumia
Mashabiki wa SSC na watanzania wote, what do you think about that?
5. Klabu ikiamua kuweka boti 2 za Kwenda Unguja Dar, kwanza watarahisisha usafiri kwa wananchi wanaotumia Usafiri wa maji lakini pia watapata fedha mingi mingi, what do you think about that !?
A lot brother, I can fill the whole page. Those are the simple things Klabu inaweza kufanya, and they will rescripting the history of Football in TZ.
simba hawana mpira, mechi za nyumban wameshinda ki bahati tu we washauri wazidi kuwekeza kwenye uchawi ndio uliowasaidia
Hamna mchezaji pale.mvivu mnoo..hajitumi..namuona tu kama boccoSasa kama wanahangaik na Ajib kutakuwa na jipya kweli?
mkuu umechambua vizuri lkn kuna ka bias umekasema ..unasema wachezaji kama chama, kagere, na niyonzima na ukasema unaangalia wanachezeshwa na nani ? ukasema wanachezeshwa na mtu kama bocco anakiwango dhaifu... HAPANA mkuu Bocco hana kiwango Dhaifu kbs.. angalia ana assist ngapi ktk klabu yake tena ktk mechi muhimu za kimataifa ...tazama assist zake mbili ktk mechi na uganda za kufuzu..mi maoni ni kwamba Bocco anavyo chezeshwa simba analazimika kutumia nguvu nyingi ndio maana anawahi kuchoka ..lkn kama Bocco angekuwa anachezeshwa kama lonely striker akizungukwa na mawinga wazuri atleast ..ndugu yule jamaa anakipaji.... Na kumbuka yy ndio anaongoza kwa magoli ktk ligi ya bongo ..Mpe mtu heshima yake
Hivi mtu anaanzaje kumdharau Boko! mtu ambaye alipokuwa Azam alikuwa anajipigia Simba na Yanga vile atakavyo na bado kahamia Simba ndo kwanza kaipeleka robo fainali CAF huku akiipeleka Stars AFCON pia.
Watu kama hawa ni qualified haters.