usajili wa kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Usajili wa Kampuni Brela

    Kuna tatizo la usajili "ONLINE" wa kampuni BRELA. Baada ya kutimiza masharti yote ya ONLINE REGISTRATION ikiwa ni pamoja na kuingia gharama za usajili unaambiwa eti jina linafanana na kampuni iliyopo. Hii si sawa kabisa kwa sababu unakuwa tayari umeishafanya name clearance online. Kwa hiyo jina...
  2. daydreamerTZ

    Kodi ya mapato ya makampuni | corporate income tax (statement of estimated tax payable na final return of income)

    Statement of Estimated Tax Payable na Final Return of Income ni nyaraka mbili tofauti zinazohusiana na kodi ya mapato nchini Tanzania. Hapa kuna tofauti kuu kati ya hizo mbili: Statement of Estimated Tax Payable (Taarifa ya Kodi Inayotarajiwa Kulipwa): Hii ni taarifa inayojazwa na mlipa kodi...
  3. daydreamerTZ

    Pita hapa, tupate elimu ndogo kuhusu kampuni

    Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni: 1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
  4. daydreamerTZ

    Tujifunze! Kwanini usajili kampuni kisheria?

    Umuhimu wa kusajili kampuni hapa nchini kwetu Tanzania Kufuata Sheria na Kanuni: Kusajili kampuni Tanzania ni wajibu wa kisheria kulingana na Sheria za Kampuni na miongozo ya Mamlaka ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA). Kusajili kampuni kunakuhakikishia kuwa unafuata sheria na kanuni...
  5. daydreamerTZ

    Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  6. T

    Kuanzisha kikundi cha Ujasiriamali

    Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
  7. VA Business Consultants

    Usajili wa kampuni / biashara BRELA - Tanzania

    Unahitaji kufungua kampuni au biashara nchini Tanzania? Karibu VA Business Consultants tunatoa huduma za kusajili kampuni, jina la biashara, nembo za biashara (trade marks) na kutoa ushauri wa biashara katika hatua za kukamilisha urasimishaji wa biashara yako BRELA na mamlaka zingine. Wasiliana...
Back
Top Bottom