incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,530
- 4,274
deleted
Rudi nyumban kama unaona keroWana Jf ninaelekea kumliza siku tatu tangu nifke chuo cha udom bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vngne?? Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year![]()
![]()
![]()
Hatawiki kumbe bado unalalama hapo bado kabisa,vumiliaWana Jf ninaelekea kumliza siku tatu tangu nifke chuo cha udom bila kukamilisha Mchakato wa usajili maana unajaza miform hadi unachoka hapa nimelala taabani bin hoi ila bado kesho nadaiwa kuendelea na mchakato njaa imeuma hadi utumbo umekunjamana sasa mimi nataka kujua kwa wenyeji wa chuo hiki tabia hii ilikuwepo tangu awali au imeanzia kwetu na kwann mchakato uwe mrefukiasi hicho tofauti na vyuo vngne?? Inamaana wanatakakusema wao ndio wanajua kusajili wanachuo udom badilisheni mfumo bandugu mnatuuwa 1st year![]()
![]()
![]()
Haaaaaaa nmechekaaMara zote huwa ni kero...degree sio lelemama,kusajiliwa tu huwa lazima ukonde...
Bro udom kwan wanajaza page moja subili wadau tuliofka huko wakusmulie tunajaza bibble ya maform ww unasema moja yawezekana mwaka wako ulijaza moja huku tumejaza form zaid ya 20 leo na bado ukifka kusajiliwa unarudshwa wanadai haujalipia form ya by-lawWe dogo wakuja kweli. Tena bora udom unajaza form page moja tu. Nenda vyuo vingine kwa mfano MUCE ulinganishe na form yako hiyo. Watu wanajaza booklet. Tena eti unataka ufanyiwe usajili siku moja tu! Duh! Kama kuna chuo kinaweza hilo suala Tanzania hii basi salute sana kwa hicho chuo. Kua uyaone dogo. Ulijua chuo kikuu mtelezo ee? Na baado.
mara ukifka huku unaambia hauna admission copy mara haujajaza form ya hostel mara nin.... daah ndg itakuwa haujafka hapa kwa mwaka huu mwenyewe nilienda kwa kufuata instruction ya kaka aliepo 2nd year nimefka nakuta niko incoplete imebd tena foleni ya kutoa copy yaan hapa kila ktu folen mara folen ya kulipia bylaw

Cc miaka ya nyuma ilikuwa simple tu ila inachukua muda kutokana na wingi wa watu. Ila mbona hicho kitu kipo kila chuo. Tena ktk vyuo ambavyo nna uzoefu navyo naona udom ndo usajili upo simple. Nenda vyuo vingine uone taabu za dunia wanavyozipata.... hicho ndo chuo kikuu...! by the way... mmeanza lini usajili?Bro udom kwan wanajaza page moja subili wadau tuliofka huko wakusmulie tunajaza bibble ya maform ww unasema moja yawezekana mwaka wako ulijaza moja huku tumejaza form zaid ya 20 leo na bado ukifka kusajiliwa unarudshwa wanadai haujalipia form ya by-law![]()
mara ukifka huku unaambia hauna admission copy mara haujajaza form ya hostel mara nin.... daah ndg itakuwa haujafka hapa kwa mwaka huu mwenyewe nilienda kwa kufuata instruction ya kaka aliepo 2nd year nimefka nakuta niko incoplete imebd tena foleni ya kutoa copy yaan hapa kila ktu folen mara folen ya kulipia bylaw
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()