Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nianze kwa kuelezea masikitiko yangu KAMA MWANACHAMA WA SIMBA na si shabiki tu, kwamba imepita miaka minne sasa ambapo licha tu ya kwamba hatujawahi kuchukua ubingwa ila hata kushiriki michuano yoyote ya kimataifa na sioni mtaguswa wa viongozi wangu katika hili hasa wakati huu wa usajili ambapo naona ni kama tunarudia usajili wa mazoea bila kuzingatoa mahitaji ya msingi...........kwa tetesi zilizopo hadi sasa sioni hawa wachezaji waliosajiliwa kama kweli wataleta mabadiliko yoyote ndani ya SIMBA kwa kipindi hiki kigumu na sioni kuumia kwa viongozi katika hili kwani ni kama tunasajili kimafungu
Kiungo mpya wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Rasta’
Jamal Mnyate
Mzamiru Yassin mwenye uwezo wa kupiga pasi za uhakika na anaungana na viungo wengine kwenda kuisaidia klabu hiyo kuweza kufanya vizuri msimu ujao.
Emmanuel Simwanza katika moja ya mechi zake akiwa na Mwadui FC