Usaili wa JKT 2017 unaendeleaje?

Usaili wa JKT 2017 unaendeleaje?

Joined
Oct 27, 2017
Posts
57
Reaction score
84
Wana jf wenzangu, kwa wale tunaofuatilia au tuliobahatika kufikia ngazi ya mkoa kwenye usahili wa kujiunga jkt, mkoani kwako mmefikia hatua gani maana huku kwetu tuna week sasa tushafanya usaili wa mkoani na tupo tu tuliambiwa utaratibu mpya ukiletwa tutajulishwa.

Hali imekaaj katika mkoa ulipo kijana mwenzangu mwenye nia ya kujiunga na jkt.
 
Mambo haya pia dogo sio kila kitu cha ishu ya jeshi unakuja mbio kwenye mitandao kulia lia jkt na jwtz na majeshi mengine kuna vitu vingi sana vinawakera ila uwezi kuta mtu kaja mbio kuja kulalama kwenye mitandao.HII INAITWA WORKING ETHICS YA KIJESHI huwa hainfanani na mambo ya kisiasa
 
Back
Top Bottom