Usaili Viettel

Usaili Viettel

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,531
Reaction score
18,372
Tarehe 16/10/2014,nirifanya usaili( PRACTICAL INTERVIEW) VIETEL hapa dodoma,leo nimepigiwa simu niudhurie usaili wa ana kwa ana kesho,wakuu napenda kuuliza mwenye taarifa zao kuhusu PACKAGE,anijuze,maana nasikia kwamba mishahara yao inaishia 400000TSH,wakati mimi natafuta 3M,
 
Tarehe 16/10/2014,nirifanya usaili( PRACTICAL INTERVIEW) VIETEL hapa dodoma,leo nimepigiwa simu niudhurie usaili wa ana kwa ana kesho,wakuu napenda kuuliza mwenye taarifa zao kuhusu PACKAGE,anijuze,maana nasikia kwamba mishahara yao inaishia 400000TSH,wakati mimi natafuta 3M,

Unamaanisha nini hiyo bold??
 
Sijawi ona kampuni bahili kama hii tena isiyojali wala kuthamini wafanyakazi wake kwa mishara ya kudhalilisha na isiyoendana na elimu za watu wala mahitataji kutokana na garama za maisha ila inabidi tu kufanya kama huna kazi nyingine wakati unaendelea kuangalia ustarabu mwingine.
 
Sasa unataka tukujibu nini wakati ushajijibu mwenyewe, au umekuja kutukejeli humu?.
 
...unataka 3M wakati kiswahili chenyewe kinakupiga chenga. Eti NIRIFANYA
 
acha kukremu dogo kuwa kila mzungu ni pasta mbn ni mshahara wa kawaida tu sehemu kibao
tanzania hatunaga sehemu inayoitwa sehemu kibao! umeskia dogolas, nimeuliza nkiwa na uzoefu na utafit wa nch yetu na hilo kampuni, sasa wewe ndo wale mnaoenda kutongoza demu afu unanamwambia mbona stiva ulimpa! ha ha ha Acha kuskia skia afu ndo uongee bila hata data yoyote! hii campun jamaa anataka 3m, kwanza ndo inaanza na ndo maana wanaanza 4kilo, ni tofaut na izo sehemu nyingne wewe unazozitak na penyewe uwe civil engenering ndo wanaanza mpaka 7m, sanasana ni kwenye maviwanda na makampun makubwa ya telecom....
Na usije fananisha mfanyakaz wa vodacom anaefanyia safarcom au warid kenya na uganda wakawa sawa kwenye payment... ivyo usikremuu dogo tunaangalia na campun unayoomba
 
hapana mkuu,hapa hapa bongo,inategemea unapata ngapi sasa hivi,na unataka ngapi,

kama unafanya kaz sehemu nyingne ckushaur uende uko! Hawa jamaa hawana utu na watz , ndo mana kama umenielewa vzur nikauliza ilo swal, mana hawa jamaa wanajal sana watu waliotoka nao nje ya nchi, wamedharau sana elimu yetu tz...
 
sikia dada @prez nakutajia mashirika na ofisi za umma ukaanzie huo utafiti wako kisha njoo tena anza tume ya mipango ya taifa kisha nenda NBS pale kata kona kisha ulizia TCRA then omba apointment TRA ukipata muda pia ulizia hata bodi ya mikopo ok my concern ni kwamba sio kila ofisi tz mshahara ni mdogo bibie unless umekuja juzi mjini kwa ajili ya chuo
 
sikia kaka @prez nakutajia mashirika na ofisi za umma ukaanzie huo utafiti wako kisha njoo tena anza tume ya mipango ya taifa kisha nenda NBS pale kata kona kisha ulizia TCRA then omba apointment TRA ukipata muda pia ulizia hata bodi ya mikopo ok my concern ni kwamba sio kila ofisi tz mshahara ni mdogo bibie unless umekuja juzi mjini kwa ajili ya chuo

.Sory kwa kuwa ckukutajia cv yangu naona unaniita dada, bibie ha ha ha ha nina mb mim please anza upya afu nikujibu Au labda ka ulikua na nia ya kunitus@shark
 
kaka compuny yeyote inayoanza huwa inataka cheap labor hiyo pesa hawatakupa
 
Back
Top Bottom