Capo_di_Tutti_Capi
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 111
- 168
NaongezeaWarekebishe na ajira portal mtu aweze kuedit na kudelete vyeti vyake
Hapo safi sana wametusaidia Sana, tunasubiri kuweza kuapply relevant fieldWarekebishe na ajira portal mtu aweze kuedit na kudelete vyeti vyake
kuedit mbna unaweza we kinakushinda nn kuedit kufuta ndio haiwezekani maana kuna raia walikua kazi zikitoka za diploma wanafuta degree wanaomba za diploma mpaka watakapoitwa usaili, zikitoka za digree wanaweka cha degree mpaka watakapoitwa usailWarekebishe na ajira portal mtu aweze kuedit na kudelete vyeti vyake
Serikalini sikivu mmeokoa gharama za vijana kwena na kuishi Dodoma siku za usailiKutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.View attachment 2270664
Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.View attachment 2270664
Naliwazia hili pia..🤔Vijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachunjwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
Angalau Mungu amesikia maombi yetu sasa maana mateso ya kusafiri kila wakati kwenda dodoma na garama nyingine za huko yalitucost sana jobseekers.Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.View attachment 2270664
Mkuu, vijana hawa hawa watarudi kulalamikia huu uamuzi. Time will tell.Naliwazia hili pia..[emoji848]
Word [emoji1303]System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
Nadhani hii ni hofu yako tu mkuu!System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
Hawa utumishi naona wanazidiwa kazi.. just imagine Ajira za TRA Toka mwezi April sijui March hawajaita watu interview hadi leo.. hapo bado hiz 2000 zilizotoka mwezi wa 5 bado za Kilimo hadi leo hawajatangaza.. Sasa kwa namna hiz Ajira za mwaka wa fedha kukamilika si itachukuwa hadi mwaka mzima kuajiri.. Leo nimemsikia Waziri wa Ajira anasema kuwa utumishi wafanye chapu Ajira ziaze kufanya kazi July 1 hv kweli Huyu Waziri na utumishi wake wako serious..? Utumishi kwa kweli wanaboa sana, kwann wanachelewesha watu kuwasaili na kuwapangia vituo vyao vya kazi.. kama kazi ni kubwa si waajiri Wafanyakazi wengi huko utumishi halafu kwanza saili zote zinafanywa na taasisi husika, Sasa kwa nn wanachelewesha mambo..
Kwa kweli wanaboa, Waziri angalia hii kitu kama Ajira 1500 za Kilimo na mifugo hadi leo zimewashinda kutangaza toka mama alivyotaza hizi Ajira Sasa wanataka Hadi mwaka upinduke..? Yaan Kuna watu wanapenda kuchelewesha vitu bila sababu za msingi dadeq.
Vijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachujwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
Kwa pamoja mmethibitishia umma kwamba: Katika nchi yetu na popote pale karibu kila wazo bora la kimaendeleo kuna wazo mbadala wake ambalo nalo aidha ni la kimaendeleo au uoga wa kupoteza maendeleo.System Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa