Usaili TPA

Usaili TPA

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?

Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili watakaoajiriwa waanze katika mwaka mpya wa Fedha. Yaani July 2026 ?

Anaejua Atutoe hofu Please?
 
Kaa kwa kutulia wanafanya wengine kwa sasa muda ukifika utaitwa… Maana ni nyomi la watu wengi na linahitaji man power
 
Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?

Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili watakaoajiriwa waanze katika mwaka mpya wa Fedha. Yaani July 2026 ?

Anaejua Atutoe hofu Please?
Kwanini mwakani? ondoa presha mambo yataiva kabla ya November
 
Wakuu Tafadhalini Kuna Yeyote anaejua ni lini Usaili Utafanyika wa Zile nafasi zilizotangazwa kule ajira portal mwishoni mwa mwezi wa sita ?

Nina wasiwasi labda inaweza Kuwa mwakani Ili watakaoajiriwa waanze katika mwaka mpya wa Fedha. Yaani July 2026 ?

Anaejua Atutoe hofu Please?
Kuwa na subira inaweza kuchukua miezi ata 2 na zaidi ila kusema mwakani sidhani kama zitafika huko
 
Wahusika wanakuja ikawe KHERI kwako mkuu🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Back
Top Bottom