Wadau goma ndo linasubiliwa kuchezwa,ni Kati ya vijana zaidi ya 400 tunasubilia usaili wa aptitude test!!
Naona vijana tumependeza sana,hata wale wanaoponda suruali za vitambaa leo zimekua deal!
Dada zangu wanawaka kweli,wamependeza! Nywele zao zinang'aa kweli!
Tunawasubili wakubwa wafike watupe utaratibu kamili!
Nafasi za bank teller! Monarch hotel Mwanza