Mkuu hongera...hiyo ngoma yako hiyo aisee.
Wadau mwenye kujua hawa jamaa bank ya makabwela hua wanatoaje maswali msaada pls!!
Pia ningejua hua wanafanya aptude test au oral interview!
Nimeitwa kwenye usaili jumamosi mwanza,saa tatu asubuhi,ngoma inapigwa Monarch Hotel!!
Hahahaha Jamaa ana mikwala duh sis kwetu kabwela maana ake ni watu wenye utashi wa maendleo sio walala hoi (kwa wingi)
mkuu kwa sababu unaonyesha zarau, kuita benk ya nmb superbrand, eti kuwa ni benk ya makabwele, uzuri ninayo namba yako, haina shida tutakushughurikia, haiwezekani unataka kufanya kazi benki ya nmb, halafu inaitukana. huu ni upuuziii
jua vzuri tu products zao
mkuu kwa sababu
unaonyesha zarau, kuita benk ya nmb superbrand, eti kuwa ni benk ya
makabwele, uzuri ninayo namba yako, haina shida tutakushughurikia,
haiwezekani unataka kufanya kazi benki ya nmb, halafu inaitukana. huu ni
upuuziii
Hongera zako.
Kaka una uhakika wa huo usaili au wazee wa mjini wanakupiga kipindi,NMB na monarch hotel bado hujanishawishi be carefully bro mwanza matapeli wengi.if ur sure then go ahead
Kaka una uhakika wa huo usaili au wazee wa mjini wanakupiga kipindi,NMB na monarch hotel bado hujanishawishi be carefully bro mwanza matapeli wengi.if ur sure then go ahead
Kaka unaogopa ya mwanza community bank??
Kaka mwanza full matapeli kila kona,Kama ni hivyo hongera kaka weka uzungu vzur mengine ya kawaida
Sorry we upo mwanza mi pia nimeitwa ila niko dar hat a cjajua nafanyaje