Kuna jamaa yangu post ya ass. Lecturer in environmental...... Ni wajiliwa halimashauri fulani; ameghaili, na aliitwa peke yake kwenye interview, sijui hakuwa na mshindani? Ila yeye mwenyewe baada ya kulinganisha masilahi hataki tena hiyo post, hivyo ni wazi hatakwenda interview. Hivi itabidi watangaze kazi hiyo tena au kuna reserve list?
Ulikua unataka kuapply nini? na wao inakuaje wanashortlist mmoja mara nyingi kama hawajapata mtu wanatangaza tena