Jamaa wameita kwenye usaili phase ya III cheki Mbeya University of Science and Technology | home page, kila la kheri
sasa hawa jamaa wameweka tarehe tu na muda hawajaweka!au hawajali muda?Jamaa wameita kwenye usaili phase ya III cheki Mbeya University of Science and Technology | home page, kila la kheri
Khantwe nitakujulia wapi wewe? shopping we unafanya manzese mi nafanya dubai, lini tutaonana???????????Yan we mtu mbona una matatizo sana? Unanijua sana eeh?
Yan we mtu mbona una matatizo sana? Unanijua sana eeh?
Inaonekana mna ugomvi binafsi na huyo jamaa!
Nakufariji tuSasa wewe wa dubai wa manzese unamtajataja wa nini?
Mwehu huyo niwe na ugomvi nae namjulia wapi....mxiiiiiuuuu
Nakufariji tu
nitakutafuta nikirudi, nimekuja Dubai kununua pilipili hohoHahahaaa...kwa hiyo ukintaja wewe nafarijika? Btw asante mkuu kwa kutumia muda wako kunifariji japo sijajua unanifariji kwa lipi...
nitakutafuta nikirudi, nimekuja Dubai kununua pilipili hoho
Huyu bila shaka ni Mkurya, eti kukuambia hivyo ndo anakufariji!
acha ushamba, inaitwa chocolateHongera mkuu ninunulie bas choculate maana sijawahi hata kuiona naisikia tu
zile fangasi zako vipi umepona?Achana nae huyo anataka agawane na mimi stress zake nimemwambia No...
acha ushamba, inaitwa chocolate
zile fangasi zako vipi umepona?