Usaili kwa tuliomba uhamiaji ni lini?

duhhhkama ndiyo hivyo wangeweka kuwa nayo ni sifa ili tujue b4 hawazitangaza

uyo jamaa asikutishe sidhani kama amesoma management, kwa ufupi tu ni kwamba kuna internal recruitment na extenal
taasisi ikiona haiwezi kuajiri internal ndipo inatangaza kwa public wa nje.ivyo kama wanachukua polisi kwanini watangaze public.
subiri wataalaam wa HR watakufafanulia wakija hapa jamvini ila naisi washagundua humu wengi mnapenda uzushi kwa nao unautamu wake bila shaka
 
kwa muda huu ngoja niendelee kula vumbi kwa sababu ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli, maana hapa jf kila mtu anatuletea funguo zake kumbe kufuli ya immigration hawaijui ila wewe waache kujifanya wanajua sana siku ya usaili nitakuwa nawang'ong'a tu waache waje na midevudevu yao waone
ivi we dada umeolewa ,usimaindi sana nataka tu kujua funguo wangu :eyebrows:

haha,haha hapo nawang'ong'oa tu na midv yao.
 
Aisee bado unasubiria?..au kuna mtu unaemjua pale?...taarifa iliyonikata maini...mpaka siku ya mwisho walipokea maombi zaidi ya 1000 kwa afisa mkaguzi msaidizi,nikajipimia...mmh...maboss nafasi zao ziko ngapi?...koz nafas zote ni 70!...nikaamuaa nilisahau ili suala,koz unaeza subiri kwa shauku mwishowe majina yakatoka ukaumia roho buure,ngoja iwe suprise tu kwangu!
 
Sio 1000 tu ni zaidi ya 5000
 
Kwa taarifa ni kwamba si zaidi ya maombi 1000, NI ZAIDI YA MAOMBI 10,000. Yaani CANTER NDO ILIKUWA INAKUSANYA HIZO APPLICATION TOKA POSTA KUPELEKA OFISINI NA KURUDIA NYINGINE MPAKA ZIKAISHA ZOTE.
 
Yaani Stamp zinauzika kama IceCream za Azam,huu ukosefu wa ajira ni fursa kwa wengine
 
Kwa taarifa ni kwamba si zaidi ya maombi 1000, NI ZAIDI YA MAOMBI 10,000. Yaani CANTER NDO ILIKUWA INAKUSANYA HIZO APPLICATION TOKA POSTA KUPELEKA OFISINI NA KURUDIA NYINGINE MPAKA ZIKAISHA ZOTE.

ahahhaha...ahsante mkuu maana mmmhh ni mwendo wa mapressure tu. Msijal wakuu muda utafika mtatoboa tu.
 
kwa muda huu ngoja niendelee kula vumbi kwa sababu ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli, maana hapa jf kila mtu anatuletea funguo zake kumbe kufuli ya immigration hawaijui ila wewe waache kujifanya wanajua sana siku ya usaili nitakuwa nawang'ong'a tu waache waje na midevudevu yao waone
ivi we dada umeolewa ,usimaindi sana nataka tu kujua funguo wangu :eyebrows:

ha ha ha ha ...nimeolewa nina mume aliweza kujua aina ya kofuli na kafungua na funguo zake anakula bata

jitahid kjua aina ya kazi ndo uombe sio kila kazi wawezapata...refer m signature
 
Kungoja kuitwa tu unapata tumbo joto je siku ukikalishwa mezani kuulizwa maswali itakuwaje hadi hapo nikuvua nyota mpwa wangu uoga si dili jitahidi kuwa na imani kuwa mambo yatakuwa safi tu kwa kila ila je can you sell what a buyer want, ndio tatizo la job seeker wa tanzania wengi unaitwa mwenyewe first class mezani unajichanganyachanganya

Ki ukweli sijakuelewa unamaanisha nini...mimi nimetoa tarehe kulingana na mada isemavyo...mkuu umeibuka na ya kwako pasipo kuelewa nahisi hivyo...pitia upya mazungumzo yangu

Na wengine watanisaidia hapo
 
Kamanda asikuchanganye huyo jamaa...yawezekana bado hayupo sawa.

Atakuelewa tu, acha muda usonge.
 
Nafasi za mkaguz msaidiz wa uhamiaji zitatoka lini wadau naomba kama unafaham utujuZe
 
Back
Top Bottom