AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
wakuu habari zenu,poleni na majukumu ya kazi .
Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo,muda mrefu sasa nimekuwa nikijibizana na nafsi yangu juu ya muonekano sahihi wa dunia yetu hii kutoka anga za mbali,sote tunajua kwa mujibu wa tafiti taarifa na picha zinasema kuwa sayari zote zi katika muundo wa tufe na wakati fulani nikapata somo juu ya sumaku kazi inayoshikilia vitu vyote hivi vilivyopo dunian kuelekea chini ,
Lakini leo nimekaa na kujiuliza kama sayari yetu ni tufe iweje sasa hapa duniani naona kuna utambarare,ukienda kokote kule hakuonyeshi muelekeo wa mteremko au kuzunguka hilo tufe ambalo tumefahamishwa? maana kwa kawaida sehemu yenye bonde utazama chini kisha unaibuka tena sehmu yenye kilima lakini kwa sayari hii ambayo picha zinaonyesha kuwa ni duara hakuna bonde kiuhalisia ,naona kote ni lavel moja tu ,ukienda marekani hadi uchinna kote huko unapota sehemu tambarare tu hakuna sijui bonde kubwaa la kukunja kota au kukatisha,.
Wakuu wanaojua hili naomba tutoane tongotongo juu ya uhalisia wa ardhi yetu hapa dunaian na muonekano wake