Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Thanx Kaka,panda ndege safiri salama mwana jf Chademakwanza
Dr.Slaa bado yupo Chadema kwa kuwa hana pa kwenda, kushoto kuna Zitto kulia yupo Bin Mrisho sasa aende wapi? Huyu Mzee anafanana sana na Mzee Mangula, kwenye Maadili na misingi ya Kazi hawana mchezo kabisa, kazi yao ni kuimarisha Vyama kwenye Mafanikio hata jina hatajwi. Mzee Mangula alifukuzwa Ukatibu Mkuu Dakika 45 baada ya Jakaya kupewa Uenyekiti wa Ccm Taifa 2006 Dodoma, akagombea Uenyekiti wa Mkoa Iringa wakamnyima wakampa Yule Jah People eti ndo awe Mwenyekiti wa Mkoa mtu kaishia la sita C!,2010 baada ya kutangazwa washindi kwa Mbinde sana pamoja na Magoli ya mikono na Makalio ndo wakaenda kumchukua Mzee wa watu Iringa kwenye Mashamba ya Nyanya ili aje awasaidie . Slaa nae yatamkuta Muda si Mrefu, bora ukutane na Shetani kuliko hawa watu wanaoitwa wanamtandao!
Duh. Siasa ni noma
asante kwa taarifa kamanda Chademakwanza naona magamba wamechanganyikiwa kwa mziki Wa chadema
Ccm mna hasira duh
Jamani mnaoipenda Tanzania . Nimepokea a personalmessage from my friends na Mzee Dr. Salaa . Baada ya message yake I called him we spoke for about 12 minutes . Kanieleza yake lakini naomba apewe muda . Mzee Slaa hana shida na Urais maana he is a leader . Mzee amechukizwa a watu kufungua Twitter account using his name . Yote ambayo yamekuwa yanasemwa na kumhusisha ni uzushi . Yes mzee anaona tatizo lakini hajaamua kuondoka Chadema . Mzee anatafakari akiwa within Chadema . Mzee Slaa is a philosopher sote tunakubaliana akiongea ama kuandika one need to take time kumwelewa . Matatizio yaliyopo na yeye ni Mzee atakabiliana naye . Kweli kuna shida na siwezi kusema hapa ila moja kasema acheni kumwekea maneno mdomoni . Account za twitter si zake na anachukia ujinga wa watu wachache kuendeleza ujinga wao mtandaoni . Mwenye kuelewa na aelewe na punguzeni uchonganishi .
CCM ni hatar sana, intellijence ya chadema imeshindwa kugundua kitu..
Kinachofanyika ndan ya chadema ni sawa na ule mgogoro wa USSR na USA pamoja na upandikiz wa rais Golbachev
Asante mkuu. Najua viongozi wa chadema ni makini na wenye msimamo wa pamoja. Kabla ya kumkaribisha lowassa kulikuwa na vikao vya kutosha. Na mtu aliezingatiwa zaidi ushauri wake ni Dr. Apewe hata uwaziri mkuuJamani mnaoipenda Tanzania . Nimepokea a personalmessage from my friends na Mzee Dr. Salaa . Baada ya message yake I called him we spoke for about 12 minutes . Kanieleza yake lakini naomba apewe muda . Mzee Slaa hana shida na Urais maana he is a leader . Mzee amechukizwa a watu kufungua Twitter account using his name . Yote ambayo yamekuwa yanasemwa na kumhusisha ni uzushi . Yes mzee anaona tatizo lakini hajaamua kuondoka Chadema . Mzee anatafakari akiwa within Chadema . Mzee Slaa is a philosopher sote tunakubaliana akiongea ama kuandika one need to take time kumwelewa . Matatizio yaliyopo na yeye ni Mzee atakabiliana naye . Kweli kuna shida na siwezi kusema hapa ila moja kasema acheni kumwekea maneno mdomoni . Account za twitter si zake na anachukia ujinga wa watu wachache kuendeleza ujinga wao mtandaoni . Mwenye kuelewa na aelewe na punguzeni uchonganishi .