Habari zenu wana jamvi, baada ya kushauriana na wadau kadhaa hapa JF kupitia pm, nimeamua kuyaweka maisha yangu ya upotofu kwenye kitabu, CD ya mazungumzo na filamu....Bado nipo katika mazungumzo na wadau hawa wa vitabu na filamu na tutakapo kuwa tumefikia makubaliano basi nitawafahamisha ni lini kila kitu kitakuwa tayari. Stori yangu ni ndefu sana na inawahusisha wanawake wengi so kuweka hapa JF itanichukulia muda mrefu sana ..Mnaweza kutoa ushauri wenu pia. Asanteni na siku njema.
Konsolatha Mungu wetu ni Mungu wa huruma na rehema na huwa nasamehe mtu akitubu kwa kumaanisha kuacha.
Umechagua fungu jema sana na kwakua umeamua kuacha endelea kumwomba Mungu akukuze zaid kiimani na hubiri kwa wengine ili nao kwa wakati wao wamrudie Mungu.
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
Yeah mkinipa nafasi nitaelezea hapa JF jinsi nilivyo ingia huko na matatizo niliyo kutana nayo huko.
Yeah mkinipa nafasi nitaelezea hapa JF jinsi nilivyo ingia huko na matatizo niliyo kutana nayo huko.
mmmh si wewe juzi kati ulikuwa unatetea hiyo laana? ukiwaalika watu kwenye blog yako? kwanza tupe ushuhuda umemrudiaje Mungu? usije kuwa umekuja kwa staili hii ili uwameze dada wa watu! Mtume Paulo akiitwa Sauli alikuwa akilitesa kanisa na kuuwa waliokuwa wamemwamini Yesu ila siku ya siku Yesu akamtokea wengi mwayajua maandiko haya, ingawa hata baada ya kubadilika watu walikuwa wanamwogopa kwa matendo yake ya nyuma yeye akawaeleza jinsi Yesu alivyomtokea watu wakaamini. Tupe ushuhuda wako!
Wewe mtundu wewe, yani yote hayo unataka nifunguke tu, anyways nitaanza kufunguka muda si mrefu but honestlty nimeachana kabisa na mchezo huu wala sitakaa nifikirie kuurudia na nita washauri wadogo zangu ambao wanaingia kwenye mchezo huo kwa wingi waachane kabisa na mchezo huo coz madhara yake ya kiakili, kimwili na kiroho ni makubwa sana . NIKIPATA NDIO AROBAINI NITAFUNGUKA. STORI YANGU NI NDEFU SANA NA INAWAHUSISHA MAKUMI YA WASICHANA NA WANAWAKE NILIO WAHI KUWA NAO KATIKA MAHUSIANO HAYAmmmh si wewe juzi kati ulikuwa unatetea hiyo laana? ukiwaalika watu kwenye blog yako? kwanza tupe ushuhuda umemrudiaje Mungu? usije kuwa umekuja kwa staili hii ili uwameze dada wa watu! Mtume Paulo akiitwa Sauli alikuwa akilitesa kanisa na kuuwa waliokuwa wamemwamini Yesu ila siku ya siku Yesu akamtokea wengi mwayajua maandiko haya, ingawa hata baada ya kubadilika watu walikuwa wanamwogopa kwa matendo yake ya nyuma yeye akawaeleza jinsi Yesu alivyomtokea watu wakaamini. Tupe ushuhuda wako!
nadhan si vyema kumtuhumu kwa yale ambayo amesha tubu na kuyaacha. wala hatupaswi kuwa na hofu juu ya toba yake kwasababu sisi si wasimamizi wa imani yake ingawa tu washiriki wa furaha yake pale anapoamini.
kuhusu kushuhudia amesema akipewa nafasi hapa jamvini atashuhudia.
Wewe mtundu wewe, yani yote hayo unataka nifunguke tu, anyways nitaanza kufunguka muda si mrefu but honestlty nimeachana kabisa na mchezo huu wala sitakaa nifikirie kuurudia na nita washauri wadogo zangu ambao wanaingia kwenye mchezo huo kwa wingi waachane kabisa na mchezo huo coz madhara yake ya kiakili, kimwili na kiroho ni makubwa sana . NIKIPATA NDIO AROBAINI NITAFUNGUKA. STORI YANGU NI NDEFU SANA NA INAWAHUSISHA MAKUMI YA WASICHANA NA WANAWAKE NILIO WAHI KUWA NAO KATIKA MAHUSIANO HAYA