Usafirishaji-Solar panels na batteries mikoani (urgent) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafirishaji-Solar panels na batteries mikoani (urgent)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mkeshahoi, Oct 23, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau,

  Kuna jamaa yangu anahitaji kusafirisha mizigo tajwa hapo juu kwenda sites(minara ya simu) 21 Mkoani kagera... jumla ya mzigo ni kama tani 39...

  Inahitajika Kampuni yenye uwezo wa kufikisha huo mzigo ilete mchanganuo wa hiyo kazi..

  Seroius people ni-pm ASAP . Hatakiwi mtu kati.

  Ahsanteni.
   
 2. m

  masagati JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hiyo campuni gani maana lazime ijulikane.
   
Loading...