usafiri wetu bana!!

i wish

Member
Aug 21, 2012
13
20
Nimekutana nayo jana, kwenye daladala kuna konda wawili mmoja anachukua hela na mwingine anaita abiria.sasa mtu akitaka kushuka mkusanya hela anamwambia anamwambia yule muitaji shusha kituo flani na na muitaji naye anamwambia dereva.Cha kufurahisha sasa ni kwamba wote wapo ndani gari moja na wanaskiana.Nashindwa kuelewa ni plan au ndo :mvutaji: jani?
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,614
2,000
Hapo kinachokushangaza ni kipi?
Mbona wewe nyumbani kwako, msosi anapika na kuandaa Hausi geli, lakini mkeo ndio aja kukuita chumbani, tena kwa mbwembwe, "Mpenzi karibu mezani"
 

i wish

Member
Aug 21, 2012
13
20
watu8 its bout content sio maneno kama umenielewa.....
Hapo kinachokushangaza ni kipi?
Mbona wewe nyumbani kwako, msosi anapika na kuandaa Hausi geli, lakini mkeo ndio aja kukuita chumbani, tena kwa mbwembwe, "Mpenzi karibu mezani"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom