Ni utalaamu ambao umefichika ! Ungawekwa wazi kupatia watu wengi ajira kwani inawezekana ukawa na gharama nafuu ya uendeshaji, kinachotakiwa ni kuwa muangalifu usije ukashushwa chini na wenzako bila ridhaa yako !!!1
habari zenu,
natumaini weekend inaenda vyema hapo ulipo....leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikaona watu kadhaa wa familia moja wamedondoka na ungo sehemu flani hapa nchini kwetu Tanzania (thread yenye habari zaidi JF hii hapa)...maswali yakaanzia hapo kutoka kwa niliokuwa nao,naomba niwashirikishe ili kama kuna anayefahamu atujulishe.
1.is it scientifically proved kwamba ungo unapaa?....kwanini tusijaribu kufanya utafiti tuhakikishe hii mambo,maana wengine(mimi personally) naona hili swala la kupanda ungo ni mulugo.
2.je hizi ungo zinavyopaa,zina route yake?....kama kulivyo na anga la kimataifa,anga la ndege ndogo etc.
3.je radar inaweza ikaona hizi ungo?
4.ungo unafananaje----kwa mwenye picha tafadhali aweke
5.je zinatumia nishati gani?
6.zipo aina tofauti za ungo?ni ngapi?
wengine mtaanza kuponda hii thread,ila naamini itatusaidia wengine kupata uelewa kuhusu haya mambo yakoje yakoje,na kama ni kweli au stori tu......sisi ni waafrika,na mambo haya yapo kwetu,nitafurahi kujua kiundani kuhusu haya kwa JF.ni haayo tu kwa leo
CC: watu8 , Chimbuvu babaV Nicas Mtei Bujibuji Zinduna Filipo Mtambuzi Mbuzimzee The Boss Puppy @lara1 Preta Erickb52 charminglady Mwali Ndoa
Watu mnashangaza kweli! Yaani mnashangaa kana kwamba hamjawahi kuisikia hii makitu. ....nilicheka sana yule mzoefu alivokuwa anaelezea, eti mwenzetu asiye na uzofu ndiye aliyetu-cost tukadondoka!
Nchi ya ushirikina..nchi ya washirikina. Wenzetu wanasonga mbele kwa kutumia sayansi na teknolojia sisi tunendekeza imaani za mababu na mabibi. Nikikadiria asilimia 95% tu washirikina wengine wanabisha. Sikiliza maskoofu wetu wanavyojinufaisha kwa kuwalazimisha watu wakubali wana mapepo ili wawatibu. Sikia mashehe nao wanavyojinufaisha kwa kudai wanatibu majini. Na uchunaji wa ngozi je ? Na mauaji ya malbino na vikongwe ? Hata wasomi wetu wengi nao ni washirikina. Hata viongozi wengi pia. Kule Mtwara Msimbati Bibi Guli au mkuu wa kaya anadaiwa kuwa na uwezo wa kuzuia gesi isije DAR ! Katika utumwa wetu wa ushirikina, huenda tukachukua muda mrefu kusonga mbele na kushindana vilivyo na nchi zingine.mnhhh sijui hili taifa lkoje koje
'most primitive nation on earth'
Ni utalaamu ambao umefichika ! Ungawekwa wazi kupatia watu wengi ajira kwani inawezekana ukawa na gharama nafuu ya uendeshaji, kinachotakiwa ni kuwa muangalifu usije ukashushwa chini na wenzako bila ridhaa yako !!!1
ITV?
seriously?
hakuna nchi ya ajabu kama yetu
habari zenu,
natumaini weekend inaenda vyema hapo ulipo....leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikaona watu kadhaa wa familia moja wamedondoka na ungo sehemu flani hapa nchini kwetu Tanzania (thread yenye habari zaidi JF hii hapa)...maswali yakaanzia hapo kutoka kwa niliokuwa nao,naomba niwashirikishe ili kama kuna anayefahamu atujulishe.
1.is it scientifically proved kwamba ungo unapaa?....kwanini tusijaribu kufanya utafiti tuhakikishe hii mambo,maana wengine(mimi personally) naona hili swala la kupanda ungo ni mulugo.
2.je hizi ungo zinavyopaa,zina route yake?....kama kulivyo na anga la kimataifa,anga la ndege ndogo etc.
3.je radar inaweza ikaona hizi ungo?
4.ungo unafananaje----kwa mwenye picha tafadhali aweke
5.je zinatumia nishati gani?
6.zipo aina tofauti za ungo?ni ngapi?
wengine mtaanza kuponda hii thread,ila naamini itatusaidia wengine kupata uelewa kuhusu haya mambo yakoje yakoje,na kama ni kweli au stori tu......sisi ni waafrika,na mambo haya yapo kwetu,nitafurahi kujua kiundani kuhusu haya kwa JF.ni haayo tu kwa leo
CC: watu8 , Chimbuvu babaV Nicas Mtei Bujibuji Zinduna Filipo Mtambuzi Mbuzimzee The Boss Puppy @lara1 Preta Erickb52 charminglady Mwali Ndoa
... Wataalam wa masuala haya wanasema ili uweze kupaa inabidi utumie viungo vya binadamu.
Sasa ikipitishwa si tutaisha wote!
Mbona unakurupuka mwanangu!mwanga mkubwa we'............. naona umeguswa!😕
Shuhudia mwenyewe levitations, hizi ni photos!.Pasco
Hivi kweli unaamini Uri Geller anapinda vyuma ?, hivi kweli unaamini kuna watu wanapaa na ungo ? (levitation)
Mimi mwenyewe nilipata mashaka kama yako.
Seeing is beliving, kama bado huoamini nikuwekee video to see for yourself!.PascoHivi kweli unaamini Uri Geller anapinda vyuma ?,
Seeing is beliving, kama bado huoamini nikuwekee video to see for yourself!.
Geller's best known stunt was making a spoon or key bend by merely rubbing it. In reality he'd surreptitiously bend the spoon or key beforehand, then keep the bent part concealed in his hand. When showtime came around, he'd display the spoon or key to the audience with the bowl or flat side facing out, from which angle it looked straight. Then he'd commence rubbing, all the while keeping up a furious line of chatter. By and by he'd extrude the bent part of the spoon or key from his fingers, if you follow me, giving the appearance that it was bending before the audience's eyes.