Yeah. Inaitwa Hayabusa E5 .320kmph.
Kuna nyingine ipo kwenye majaribio bado. "Magnetic Levitation" The Lo Series train, ina speed ya 370kmph.
Kwa wenzetu train ni kama ndege tu.Kwetu ni gogo. Hah hah
Niliwahi kusoma njemba za kijep zilikuwa na tabia ya kupapasa warembo wowowo na hata matiti hasa kama treni ikiwa imejaa sana mpaka ikasababisha kuwe na mabehewa ya njemba peke yao na warembo peke yao.
Upo sahihi. Hii tabia ipo. Hasa wanaporudi nyumbani baada ya kunywa.
Domestic train (tofauti na Shinkansen ya usafiri wa mbali) inakuwa na sehemu ya wanawake pekeyao asubuhi na jioni. Lakini siyo zote.
Sasa kuna kamera na wengi wamekamatwa.
Sijui huko katika daladala kama huu mchezo unaendelea bado.
Kwenye daladala kama kazi kuna uzi nadhani humu unazungumzia madhila wayapatayo wakina mama ndani ya dala dala ya kushikwa nyeti zao.
Bullet Train up to 603km/h for maglev train!Hii ndio ile treni yenye mwendokasi mkubwa kuliko zote?
mwakyembe kasema treni kama hizo zitaanza dar mwezi september
Ah hahah wanaogopa njemba kubashia, hapo daladala ndo imejaa tiiii toka ubungo hadi mbagala afu ukamatie wa kubashia, aaahhh we acha kabisa utatamani muwe mnaenda mtwara huku mmesimama
​Nitaifanya Kigoma kuwa kama Dubai - by Kikwete 2005 kwenye kampeni
Na leo chama kile kile wanatoa ahadi zile zile na sisi tunawafurahia na kuwashangilia kama mazuzuduuuu hili zee lilaaniwe tu